Anataka turudiane, nimemwambia sina muda mchafu

Mbona sijawahi kukuelewa nyuzi zako unazitoleaga wapi kwani na mimi nikazi copy mana sijawahi anzisha uzi humu.

Mana kila nikiunganisha dots huwa haziunganishiki kabisa. Ila hongera sana mkuu.
Ahahaaa mkuu hiz story zangu siyo za kutunga hata kucopy hata kidogo na sijawah copy kutoka sehemu yeyote ile

Lakin usikonde wangu nitakutungia uz ulio kamilika then nitakupm ili kesho uutupie humu ndan
 
"......
Kwa sasa niko safi kila kitu ninacho dinga lipo gheto malu malu had choon yaan ful ac afu et ndo anataka kurud kwangu "

HAYA MAISHA YA JF RAHA SANA



NAHUJA
 
Mkuu sasa itakuwaje..? kama akipata chuo kingine na huyo basha wake, naye akapata kazi nyingine nzuri zaidi?
Mkuu iko hivi kile chuo hakikuwa na sifa hivyo hata yeye hakuwa na sifa ya kuwa mwanachuo na huyo basha wake naye hana sifa ya kufundisha chuo. Hivyo acha tu wapambane na hali zao
Mkuu sasa itakuwaje..? kama akipata chuo kingine na huyo basha wake, naye akapata kazi nyingine nzuri zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…