Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
- Thread starter
- #61
Ahahaaa mkuu hiz story zangu siyo za kutunga hata kucopy hata kidogo na sijawah copy kutoka sehemu yeyote ileMbona sijawahi kukuelewa nyuzi zako unazitoleaga wapi kwani na mimi nikazi copy mana sijawahi anzisha uzi humu.
Mana kila nikiunganisha dots huwa haziunganishiki kabisa. Ila hongera sana mkuu.
Lakin usikonde wangu nitakutungia uz ulio kamilika then nitakupm ili kesho uutupie humu ndan