Mkuu iko hivi kile chuo hakikuwa na sifa hivyo hata yeye hakuwa na sifa ya kuwa mwanachuo na huyo basha wake naye hana sifa ya kufundisha chuo. Hivyo acha tu wapambane na hali zao
family mkuu.Poa poa mkuu mbona umepotea sana kiongoz
Haya maisha ya kuigiza sipo aiseeHahahahaaa mkuu nakuona kumbe na wewe umo
sawaNdo hivo mkuu kama noma na iwe noma tu
Ubaya ubaya maskani poaUbaya ubayaaa tuuu
Bas sawa mkuu lakin mimi kwangu tukiachana ndo bas tenaNi udhaifu mkubwa kuachwa na binti. Kama mambo yako ni fresh isingekuuma na akitaka kurudiana si unakula na kusepa. Ma X wangu wote niliwaacha mimi na nikitaka kula saa yeyote nakula na wote hawanichukii na siwachukii wanajua haya ni maisha tuu kuna kuachana na kusamehe.