Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpe pole sana ngoja wataalam waje
ahsante kwa ushirikiano wako mkuu.
Aoshe kidonda kwa maji ya uvuguvugu kiwe Safi kisha ajipake Asali asubuhi na jioni kwa muda wa siku 7 akitumia atapona hivyo vidonda vyake.Habari za wakati huu waheshimiwa.
Mdogo wangu anatokwa na vidonda mara kwa mara sehemu zake za miguuni, amejaribu kutumia dawa kadhaa lakini hali haijatengemaa.
Je atumie njia gani m'badala?
Asante.
Ametumia dawa tu, jee ameshaenda hospitali kuona madaktari na kupimwa tatizo lake?
Vidonda huweza kusababishwa na mambo mengi na vidonda huwa vinatofautiana, unaweza kusema unatibu kidonda kumbe athari ipo kwengine.
Nnakushauri mpeleke hospitali akafanyiwe vipimo kitaalam.
Aoshe kidonda kwa maji ya uvuguvugu kiwe Safi kisha ajipake Asali asubuhi na jioni kwa muda wa siku 7 akitumia atapona hivyo vidonda vyake.
Nishampeleka hospitali ila hii kwke ni km alergy,yani vinapona hlf haipiti mwez vinaanza tena.
Mkuu hujaeleza vizuri nikwamba ni kwenye nyao au sehemu gani ya miguu? Na kama ni kwenye nyao vipi vinatoa harufu? Ni vidonda vikubwa?
Nishampeleka hospitali ila hii kwke ni km alergy,yani vinapona hlf haipiti mwez vinaanza tena.
Hpn mkuu sio kwenye nyayo ni juu ya miguu na havitoi harufu kwa kuwa anavisafisha vizuri ila tatizo ni hl la kutoka mara kwa mara.
inaweza kuwa alegy....kisukari lakini pia magonjwa ya zinaa huwa yana hiyo tabia utahangaika sana kama ugonjwa wa zinaa hautatibiwa hali haitaisha...
nakushauri apime hivyo vitu.
Dawa inapatikana kwa bei gani na kwa watu wa mikoani inapatikana vp?Njoo tukupe dawa ya asili kutoka Malaysia ina mchanganyiko wa asali matunda na mimea
Inatibu vidonda vya aina zote na vidonda vya kisukari.Ina warranti pia na imepitishwa na TFDA
Karbu 0683109166