Anatokwa na vidonda miguuni mara kwa mara, anahitaji tiba!

Anatokwa na vidonda miguuni mara kwa mara, anahitaji tiba!

Prosoo

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
471
Reaction score
167
Habari za wakati huu waheshimiwa.

Mdogo wangu anatokwa na vidonda mara kwa mara sehemu zake za miguuni, amejaribu kutumia dawa kadhaa lakini hali haijatengemaa.

Je atumie njia gani m'badala?

Asante.
 
Habari za wakati huu waheshimiwa.

Mdogo wangu anatokwa na vidonda mara kwa mara sehemu zake za miguuni, amejaribu kutumia dawa kadhaa lakini hali haijatengemaa.

Je atumie njia gani m'badala?

Asante.
Aoshe kidonda kwa maji ya uvuguvugu kiwe Safi kisha ajipake Asali asubuhi na jioni kwa muda wa siku 7 akitumia atapona hivyo vidonda vyake.
 
Ametumia dawa tu, jee ameshaenda hospitali kuona madaktari na kupimwa tatizo lake?

Vidonda huweza kusababishwa na mambo mengi na vidonda huwa vinatofautiana, unaweza kusema unatibu kidonda kumbe athari ipo kwengine.

Nnakushauri mpeleke hospitali akafanyiwe vipimo kitaalam.
 
Njoo tukupe dawa ya asili kutoka Malaysia ina mchanganyiko wa asali matunda na mimea
Inatibu vidonda vya aina zote na vidonda vya kisukari.Ina warranti pia na imepitishwa na TFDA
Karbu 0683109166
 
Nishampeleka hospitali ila hii kwke ni km alergy,yani vinapona hlf haipiti mwez vinaanza tena.
 
Nishampeleka hospitali ila hii kwke ni km alergy,yani vinapona hlf haipiti mwez vinaanza tena.

Mkuu hujaeleza vizuri nikwamba ni kwenye nyao au sehemu gani ya miguu? Na kama ni kwenye nyao vipi vinatoa harufu? Ni vidonda vikubwa?
 
inaweza kuwa alegy....kisukari lakini pia magonjwa ya zinaa huwa yana hiyo tabia utahangaika sana kama ugonjwa wa zinaa hautatibiwa hali haitaisha...
nakushauri apime hivyo vitu.
 
Hpn mkuu sio kwenye nyayo ni juu ya miguu na havitoi harufu kwa kuwa anavisafisha vizuri ila tatizo ni hl la kutoka mara kwa mara.

inaweza kuwa alegy....kisukari lakini pia magonjwa ya zinaa huwa yana hiyo tabia utahangaika sana kama ugonjwa wa zinaa hautatibiwa hali haitaisha...
nakushauri apime hivyo vitu.

Ebu msome wiseboy. Hapo kwenye magonjwa ya zinaa je mgomnjwa aliwahi kuwa na magonjwa ya zinaa???
 
Last edited by a moderator:
Kuna rafiki yangu mmoja (RIP) alikua na tatizo la kutokwa vidonda sana miguuni. Vikikauka Leo, mwezi ujao kingine na kingine na kingine. Alikujaga kupima akakutwa na HIV.

Jaribuni kupima damu
 
aangalia anachokura huenda ikawa alegi
 
Njoo tukupe dawa ya asili kutoka Malaysia ina mchanganyiko wa asali matunda na mimea
Inatibu vidonda vya aina zote na vidonda vya kisukari.Ina warranti pia na imepitishwa na TFDA
Karbu 0683109166
Dawa inapatikana kwa bei gani na kwa watu wa mikoani inapatikana vp?
 
Back
Top Bottom