Yes huo mtazamo wa kitamaduni, nakubaliana na wewe, nikiwa Chuo, nilikuwa na gf wa kwa Mangi, kule kwao sex ni taboo!, wamefundishwa kuwa kufanya ni zambi, hivyo kujikuta wana "inhibitions" hivyo akawa hafiki kabisa!. As times went on, nikafanikiwa kunconvince, wine sio pombe, ni divai tuu ndio maana Yesu aliitengeneza na kule kanisani ile damu ya Yesu ni wine!, alipokubali kunywa enzi hizo Dodoma sweet wine, inhibitions, zilikwisha na alifika, tatizo "moaning" kwa kelele, mahali penyewe hostel mimi ndio nimehamia "Serengeti!" ilitubidi siku za kujinafasi tukalipie guest maana hata ukimsisitiza kunyamaza, hasikii kitu!, but only kufika, by that time hata squirting sikuwahi kuifahamu!.
Nasikia wenzetu wale squirting type, vinavutwa toka wakiwa wadogo, hivyo vinarefuka na ku erect!, tangu wanazaliwa wanafundishwa kazi ya mwanamke ndio hiyo, ndio maana hawana aibu na hata lile jina la kabila lao maana yake ukosefu wa aibu!. Hiyo inapelekea wanajiachia na sq inawakubali!.
Naendelea kusisitiza kuna miili for that!, kwa sababu ukanda wa Pwani au Kusini, wanachezwa ngoma na kufundwa shughuli ndio hiyo, mbona hao hawa sq?!, kama ni kujiachia, wangapi wanajiachioa tuu kwa raha zao and yet no sq?!.
More research needed!/
Pasco