Pascal Mayalla ,japo labda it's late, ila kama ulivyoelezea,kuna factors nyingi mpaka mwanamke anaweza kuachia yale makolokolo.
Badhi umesema:
Mwanamke,kwanza kabisa
-kama anayo,lakini kiakili hayuko sawa,unaweza upate kidogo au usipate kabisa.
-mazingira ya maisha,huchangia pia. Wa BK,Rwanda,Uganda,Karagwe,Banyamulenge, wengi wao,hawautesi mwili,na utakuta wanashindia au kulalia maziwa.
Kama kuna yeyote humu anaeelewa neno
Igisitura, atasaidia kueleza. Ni aina furani na maziwa,hususani wanyarwanda na waganda hutumia,kwa ajili ya kulegeza mwili na kutengeneza hizo fluids. Hawa watu,maisha yao wanaamini mwanaume ndo mchakalikaji,kazi yao ni kugawa tu mbunye,na kuhakikisha yanatoka. Achana na maisha ya sasa hivi hali imekuwa mbaya,wanaishi kivyovyote.
Zamani,koo hizo walikuwa na mila za kuvuta sehemu za siri za mwanamke, zinatengeneza kama vimikia vya panya,na kazi ikiwa ni kuleta vibe ya tendo husika,na mwenye nayo ikiwa ni rahisi kuachia hayo maji. Enzi hizo,kama miaka 30 na kurudi nyuma,ukiwa huna,lazima ataolewa mke wa 2, na itajulikana hizo fluids huna.
-kwa sasa,wapo ambao hawana hizo,na wamekulia mazingira ya maziwa. Wanayo mengi sana ajabu.
-aina ya vyakula inayoongelewa, mfano wa ndizi huko British, mi napingana nayo. Kuna makundi yao,ndizi huliwa kama kawaida. Na wanayo mengi sana. Na wamekulia mihogo,viazi,maharage,......
Kikawaida,inasemekana kila mwanamke alitakiwa awe nayo. Lakini,kiwango chake,kitakuwezesha kujua mazingira mtu alokulia,akikuweka wazi. Mtu kakulia kwenye kuzunguusha mboga mboga,toka utotoni hadi uzeeni,utayapata wapi? Wakati hata kumgegeda ni kumlia timingi,na yeye hukuachia umalize tu haja zako.
Labda la kuongezea,
Utajiuliza kwa nini inasemekana watu hao niliowataja juu,wanasifika kwa umalaya?! Hasa hao wanywa maziwa, wasomi labda wanajua zaidi,ila inasemekana maziwa mengi muilini huchangia kwa kiasi kikubwa kuamsha nyege kwa wanawake. Kitendo kilichosababisha wengi wao kuzaa na ndugu wa karibu,kwa sababu akizidiwa,anamuwekea yeyote mtego,si baba mkwe wala mashemeji zake. Ikumbukwe kwa hili,kuna wenye pepo au limbukeni.
Pia, kuna ufanisi wa mchakataji. Wazinzi professional wanajua. Siyo vuta sukuma itatoa. Na kujua ni wapi ashikwe,kunachangia. Kuna wengine utasikia analalamika,mara mwanaume hafanyi nini,mara nimewahi kukutana na mwanaume kweli kweli. Achana na misifa ya humu JF kwamba wanapiga bao usiku kucha. Mwanamke ukipiga mpaka usikie harufu ya baruti,hupati hata tone.
Saikologikali,yeye kama amekupa kwa mapenzi,na wewe unafanya kwa mapenzi,98% utapata. Ila,kama ametaka,na wewe unamkomoa,au kama wewe unataka,na yeye amekuuzia, hupati kitu.
Kwa hiyo kwa kifupi,mi naamini kupatikana kwake,hutokana na maandalizi,mfumo wa mwili na akili.
Hata kama hana,ukiweza kumuandalia mazingira ya upatikanaji kwa mda furani, utapata tu.