Anatuaktia au ndiyo matokeo ya Elimu mbalimbali?

Anatuaktia au ndiyo matokeo ya Elimu mbalimbali?

Criss

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
1,959
Reaction score
3,172
Kutokana na changamoto ambazo Taifa linapitia Kuna level ya kila mmoja huwa na aina ya matumaini yake kwa kiongozi mkuu wa Taifa.

Tukubaliane tu iwe kwa sifa njema au mbaya huyo ndiye Rais wetu na hakuna mwingine , ninaimani kila mmoja kwa wakati wake huwa na aina fulani ya aina ya matumaini anayoyategemea kutoka kwa huyohuyo kwa namna ya hivyo hivyo alivyo.

Kituko huja pale kwa huyohuyo anaetegemewa na kualalmikiwa anapofanya mambo ambayo kimsingi unaweza kujiuliza hivi huyu mtu aliwezaje kuifikia hii level , mbona kama hakutoshea kuwa alipo kwa kiwango kikubwa sana? Nikweli ndiyo akili zake zilipoishia au anatuaktia tu ?

Unakuta sehemu ambayo kila mmoja anatarajia aje kwa upole unakuta ndiyo anakaza , mfano ni haya matukio yautekajitekaji kwenye nyakati ambazo tulitegemea pengine yalipaswa walau kusitishwa hata kinafiki tu lakini yeye ndiyo kwanza ngoma ndiyo analalq nayo kabisa ,mfano hii ya Arusha .

Lakini kunamaeneo kama ya wale madogo kufunguliwa kesi tena ya Uhaini duh! Anyway bado alishatangaza msamaha lakini nasikia chini chini nikama bado anawakazia, kimsingi sehemu ambayo watu wanategemea pengine angelipaswa kuja na uelekeo wa kunyoosha mambo yeye ndiyo kwanza anaharibu ,kunasaa huwa najiuliza hivi huyu Maza alifikajefikaje pale ,ushirikina haukutumika kweli ? Maana watu wavisiwa vya Tumbatu hawa 🤣🤣

Anachokifanya ni mwisho wa akili zake au anatuaktia?
 
Sio ww pekee hata mimi Baba yenu Mwandambo simuelewi pia.

NACHOKA SANAAAAAA!

images (1).jpeg


InaumaSana/ItHasAForkVery
 
Na vile katiba yetu ilivyombovu ni sawa na tumemkabizi gari dereva kichaa na hatuna cha kumfanya anajiendea tu speed anayoitaka yeye haijalishi kuna kona wala mteremko mkali!!.
 
Na vile katiba yetu ilivyombovu ni sawa na tumemkabizi gari dereva kichaa na hatuna cha kumfanya anajiendea tu speed anayoitaka yeye haijalishi kuna kona wala mteremko mkali!!.
🤣🤣🤣
 
Kuna mtu simkumbuki ni nani kule bungeni kunasiku aliwahi kusema ipo siku hii inji linaweza likatokea lipresident kichaa akaja kutunyoosha kweli na hakuna rangi tutaacha kuona , ona sasa ametokea wa Elimu mbalimbali 🤣🤣🤣 anajipigia tu

Abdul Rais mchengera sijui nae ndiyo hatari

Ila minaamini tutulie tu mfano utaanzia kwake.
 
Back
Top Bottom