Anatumia Mabilioni Kurudisha Nyuma Umri Wake

Yale yale ya Michael Jackson kuwa na Madaktari 10 wa kila aina ya huduma kiafya mwilini mwake akijihakikishia ataishi zaidi ya miaka 150, hatimaye Mungu mwenye pumzi yake akaichukua kiulaiini alipofikisha tu miaka 50.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Pumzi ndio hawawezi kuumba ila wanahangaika sana na hawataweza
 
Tafuta ela hakuna kuzeeka
 
Amuulize machel jackson kilichomkuta,huku kwetu kuna wazee wanalala kwenye vibanda hata vyoo hawana,wanakula bora kula lakini unakuta mtu ana kalibu miaka 90 na yuko frshi tu
 
bongo watu hawatumii technology yoyote wanagonga miaka 28+ ila muonekano ni wa miaka 19 hata akili zinabaki vilevile bado anagombania ukoko wa wali na wadogo zake hapo nyumbani wakati wa chai
 
nadhani hawa ndo walewale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…