Anatumiwa video za girlfriend wake WhatsApp. Je, afanye maamuzi gani?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Kuna mambo mengine ya ajabu sana aisee, kuna muhuni anamtumia rafiki yangu videos nyingi 50 kidogo, akiblokiwa anatuma kwa namba nyingine, namba za Whatsapp anazotumia ni za china , india, urusi, n.j

binafsi nlicheki video mbili tu kwa lengo la uchunguzi Ili nitoe wazo au msaada ila nilitoka kapa, jamaa sura haonyeshi, yeye hajirekodi anamrekodi binti tu pindi wakiwa kwenye tendo.

Kwa upande wa binti alisita mwanzoni kumjua ila nikamshauri rafiki afanye namna fulani ili aseme, binti akakiri ni yeye ila sasa walishachana kitambo na huyo jamaa, namba zake hazipatikani na hata makazi yake alihama.

Kwenda polisi jamaa hataki Kusikia kabisa anataka kumaliza mambo yeye na mhusika bila habari kusambaa.

Sasa kwa hali hii huyu rafiki achuke uamuzi gani?
 
Binti amripoti huyo jamaa polisi, maana Sheria hairuhusu kusambaza video za utupu hata zako mwenyewe.
Blackmailing ni haramu.

Polisi kupitia kitengo chao Cha IT wataitress hiyo IP address inayorusha video hizo na jamaa atakamatwa Leo alfajiri kabla jogoo hajawika mara tatu 🐓🐓🐓
 
Kuna watu wapumbavu na washamba sana, kama mtu umeachana nae mwache aendelee na Maisha yake sio kufuatana fuatana.

Kwa haraka haraka jamaa aliachwa huku akiwa bado anampenda huyo Demu, kwa akili yake anajua hiyo ndio silaha yake ya maangamizi.

Mimi kama ningekuwa huyo rafiki yako hata kama ingekuwa natoka na huyo Demu kwa kujishikiza, nisingemwacha mpaka huyo jamaa atulie kufanya ujinga wake
 
Nawewe jirekodi ukiwa umemkunja huyo demu kisawasawa then mtumie huyo fala. Tena hakikisha demu anatoa miguno ile haswaa..
 
Huo ni ushamba period!
 
Kitufe cha block hakipo?
 
Haya ndomadhara ya kupenda kupitiliza, unarekodiwaje unanyanduliwa jmn ke tubadilike ona sasa kinachompata huyu tena ashukuru anatumiwa boyfriend wake tu, huyo jamaa akiamua kuzisambaza kwenye magroup ya watsap unadhalilikaje
 
Haya ndomadhara ya kupenda kupitiliza,unarecodiwaje unanyanduliwa jmn ke tubadilike ona sasa kinachompata huyu tena ashukuru anatumiwa boyfriend wake tu,huyo jamaa akiamua kuzisambaza kwenye magroup ya watsap unadhalilikaje

True, ila kwa teknolojia ilivyokuwa kwa sasa unaweza kurekodiwa vizuri tu pasipo kujua mama.
 
True, ila kwa teknolojia ilivyokua kwa sasa unaweza kurekodiwa vizuri tu pasipo kujua mama.
Inawezekana ndio lakini nyingi tunazoziona ke wanajua kabisa wanarecordiwa na wanaonyesha ushirikiano ndokinachosikitisha,unamfurahisha mpenzi leo kwakujirecord nae lakini huijui kesho yenu itakuaje!
 
Nimekupm unirushie nizicheki naona kimya
Bwana mdogo, hizo video ni hatari kwa afya na mbingu yako, kwasababu binti anapelekwa kwa mpalange. Usiziombe kutumiwa ukaja kuikosa mbingu ya mungu. Nakushauri endelea kufanya ibada na funga, shetani usimpe nafasi.

Ila akikutumia, naomba na mimi uni PM hizo video nizi tathmini kwa kina.
 
Mtumishi vibaya hivyo.
 
Huyo jamaa anaetuma hizo videos bado anamtaka huyo dem hapo anajaribu kumtisha ili iwe rahisi kumpata tena. Cha muhimu ni kwenda kumreport polisi mapema kabla mambo hayajawa mabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…