Anatumiwa video za girlfriend wake WhatsApp. Je, afanye maamuzi gani?

Anatumiwa video za girlfriend wake WhatsApp. Je, afanye maamuzi gani?

Binti amripoti huyo jamaa polisi, maana Sheria hairuhusu kusambaza video za utupu hata zako mwenyewe.
Blackmailing ni haramu.
Polisi kupitia kitengo chao Cha IT wataitress hiyo IP address inayorusha video hizo na jamaa atakamatwa Leo alfajiri kabla jogoo hajawika mara tatu 🐓🐓🐓
Kashakwambia anatumiwa kwa namba za Urusi unadhani huyo jamaa nae ni mjinga 😕😕😕
 
Inauma sana hiyo yaani unaweza usiwe na hamu na Demu wako performance inakua ndogo maana unafikiria zile video
 
Yan ukaamua na kuzicheki video za shemeji yako akikata mauno, huyo rafiki ako inaonekana hana malengo ya kumfanya mke huyo demu ndio mana akaona akuonyeshe adi hzo video angekuw na malengo nae asingekuonyesha uchi wa mkewe mtarajiwa ingeishiaa tu kukupa stori na kukuomba msaada. Na km umeshazichek amini nakwambia huyo shemej ako lazma utammezea mate man utamu wake unao kichwani na ipo cku utamtongoza demu wa rafiki ako.
 
Bwana mdogo, hizo video ni hatari kwa afya na pepo yako, kwasababu binti anapelekwa kwa mpalange. Usiziombe kutumiwa ukaja kuikosa pepo ya mungu. Nakushauri endelea kufanya ibada na funga, shetani usimpe nafasi.

Ila akikutumia, naomba na mimi uni PM hizo video nizi tathmini.
Sasa huyo Boyfriend wake wa sasa nae anapelekwa huko Buza?,sasa kimbembe kama mwamba nae aliomba ndogo harafu kidemu kikatoa nje,wakati kumbe kuna mwamba alikuwa anafumua linda kitamboo.
 
Binti amripoti huyo jamaa polisi, maana Sheria hairuhusu kusambaza video za utupu hata zako mwenyewe.
Blackmailing ni haramu.

Polisi kupitia kitengo chao Cha IT wataitress hiyo IP address inayorusha video hizo na jamaa atakamatwa Leo alfajiri kabla jogoo hajawika mara tatu 🐓🐓🐓
Kwahiyo polisi watazicheki kwanza hizo videos halafu watamcheki na demu mwenyewe alivyo, alafu watamcheki na jamaa huyu mpya kisha watakakonkludi kama jamaa naafidi au hafaidi au sio?
 
Kuna watu wapumbavu na washamba sana, kama mtu umeachana nae mwache aendelee na Maisha yake sio kufuatana fuatana.

Kwa haraka haraka jamaa aliachwa huku akiwa bado anampenda huyo Demu, kwa akili yake anajua hiyo ndio silaha yake ya maangamizi.

Mimi kama ningekuwa huyo rafiki yako hata kama ingekuwa natoka na huyo Demu kwa kujishikiza, nisingemwacha mpaka huyo jamaa atulie kufanya ujinga wake
Sure mkuu. Pia haitakiwi kumuacha kwa Nini. Kama vipi badili namba Kama kweli unampenda.
Kuna Nani asiyet000bmwa
 
Ex boyfriend anajulikana, binti atoe taarifa police waanze na yeye. I presume binti anajua wapi jamaa anakaa au kufanya kazi pamoja na ndugu na rafiki zake
 
Jamaa yako nae ni jasiri,anakuonesha video za shemeji yako akinyanduliwa.

Hata wakifanikiwa kuoana,hiyo mipicha haitatoka kichwani mwako kamwe,utakua ukimuona unakumbuka kavideo.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Kuna mambo mengine ukiyaficha ni kazi sana kupata msaada, huyo muhuni katuma videos nyingi 50 kidogo aisee, akiblokiwa anatuma videos nyingine kwa namba nyingine, binafsi kusaidia uchunguzi ama kutoa wazo nlicheki video mbili tu na hata sikuzimaliza maana ni vitendo vya kijinga mwanaume kutumia mwanaume mwenzako video ya gf wake.
 
Back
Top Bottom