Anatumiwa video za girlfriend wake WhatsApp. Je, afanye maamuzi gani?

Kashakwambia anatumiwa kwa namba za Urusi unadhani huyo jamaa nae ni mjinga πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•
 
Inauma sana hiyo yaani unaweza usiwe na hamu na Demu wako performance inakua ndogo maana unafikiria zile video
 
Yan ukaamua na kuzicheki video za shemeji yako akikata mauno, huyo rafiki ako inaonekana hana malengo ya kumfanya mke huyo demu ndio mana akaona akuonyeshe adi hzo video angekuw na malengo nae asingekuonyesha uchi wa mkewe mtarajiwa ingeishiaa tu kukupa stori na kukuomba msaada. Na km umeshazichek amini nakwambia huyo shemej ako lazma utammezea mate man utamu wake unao kichwani na ipo cku utamtongoza demu wa rafiki ako.
 
Sasa huyo Boyfriend wake wa sasa nae anapelekwa huko Buza?,sasa kimbembe kama mwamba nae aliomba ndogo harafu kidemu kikatoa nje,wakati kumbe kuna mwamba alikuwa anafumua linda kitamboo.
 
Kwahiyo polisi watazicheki kwanza hizo videos halafu watamcheki na demu mwenyewe alivyo, alafu watamcheki na jamaa huyu mpya kisha watakakonkludi kama jamaa naafidi au hafaidi au sio?
 
Sure mkuu. Pia haitakiwi kumuacha kwa Nini. Kama vipi badili namba Kama kweli unampenda.
Kuna Nani asiyet000bmwa
 
Ex boyfriend anajulikana, binti atoe taarifa police waanze na yeye. I presume binti anajua wapi jamaa anakaa au kufanya kazi pamoja na ndugu na rafiki zake
 
Jamaa yako nae ni jasiri,anakuonesha video za shemeji yako akinyanduliwa.

Hata wakifanikiwa kuoana,hiyo mipicha haitatoka kichwani mwako kamwe,utakua ukimuona unakumbuka kavideo.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Jamaa yako nae ni jasiri,anakuonesha video za shemeji yako akinyanduliwa.

Hata wakifanikiwa kuoana,hiyo mipicha haitatoka kichwani mwako kamwe,utakua ukimuona unakumbuka kavideo.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Kuna mambo mengine ukiyaficha ni kazi sana kupata msaada, huyo muhuni katuma videos nyingi 50 kidogo aisee, akiblokiwa anatuma videos nyingine kwa namba nyingine, binafsi kusaidia uchunguzi ama kutoa wazo nlicheki video mbili tu na hata sikuzimaliza maana ni vitendo vya kijinga mwanaume kutumia mwanaume mwenzako video ya gf wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…