makandokando
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 299
- 21
maajabu ya dunia haya!
nimemkumbuka mama Big, where is she ?unamuendeaga chumvini nini?? Hawezi sema ivo kiraisi 2
Bora hata angesema anapenda kile kiungo kingine
Jamani, demu wangu kaniambia anaupenda ulimi wangu kuliko anavyonipenda mimi. Mi hata sijui niichukuliaje hii.
Ananisifia au ndio anatafuta njia ya kutokea?