anaupenda ulimi wangu kuliko mimi

anaupenda ulimi wangu kuliko mimi

makandokando

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
299
Reaction score
21
Jamani, demu wangu kaniambia anaupenda ulimi wangu kuliko anavyonipenda mimi. Mi hata sijui niichukuliaje hii.

Ananisifia au ndio anatafuta njia ya kutokea?
 
Itakuwa unautumia ipasavyo mkiwa faragha!
 
....ulimi wako? Mzee kwani wewe bila ulimi utakuwa umekamilika? unaezaje kujitofautisha ''wewe'' na ''ulimi'' wako?
 
strange....nafikiri anatania na anasifu matumizi yako ya ulimi kwake.......take it as a compliment unless you have other grounds to doubt what she said!!!:clap2:
 
kaka inaelekea unakula sana mahindi wewe na si vitu laini laini km chips sijui baga, ndo maana demu kausifia ulimi ipasavyo yawezekana umemparaza vizuri na huo ulimi wako ndo maana haishi kukupa sifa.
 
Bora hata angesema anapenda kile kiungo kingine
 
Bora hata angesema anapenda kile kiungo kingine

hata we umeona Tuko?.....yaani mi nawasiwasi.....ila Michelle niambie, kati ya ulimi na ile mashine kuu ipi poa?

Taluma, ndio ulimi ni sehemu ya mwili wangu....ila mi nilikuwa nategemea kusiwa bwa mkubwa, sio ulimi.
 
Jamani, demu wangu kaniambia anaupenda ulimi wangu kuliko anavyonipenda mimi. Mi hata sijui niichukuliaje hii.

Ananisifia au ndio anatafuta njia ya kutokea?

Lazima unakwenda uvinza vizuri
 
Mh ulimi??? haya mambo ya faragha tu unamfurahsha na ulmi wako au ni aje? fafanua
 
nimejua jambo mbalo ni siri...hodii junior member hapaa..ulimi? labda ulimi ana maana ya maneno yako ni mazuri kwa faraja na licha ya kwamba labda huna physical attractiveness okey p.a sio shaka baba uko juu jipe moyo huyo wako....tchaoo.
 
Back
Top Bottom