makandokando
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 299
- 21
Jamani, demu wangu kaniambia anaupenda ulimi wangu kuliko anavyonipenda mimi. Mi hata sijui niichukuliaje hii.
Ananisifia au ndio anatafuta njia ya kutokea?
Ananisifia au ndio anatafuta njia ya kutokea?