Mwongozo kidogo...
Tuliruduana...
Wewe pia umepita fake hapo kwenye mabano...lollabda naye kapitia (acadamy) fake.
Kuna wana JF humu wakituma post zao wanatufanya tusichangie ila tuwafundishe lugha. Ulisahau hizo "h" na kwenye "lu" inatakiwa kuwa "ru".guys mi nina mpenzi ambaye tuliachana then tukaludiana,tena kwa kuwaacha wapenzi tuliokua nao.The problem ni kwamba nashangaa sasa ivi mwenzangu hanijali tena.nikimtumia msg hajibu,amekua mkali nikiongea nae na wala hajisikii kunipigia.yan naona kiufupi hajisikii kuhusu mimi,nampenda sana sijui nifanyeje na najua tuliludiana kwasababu tulikua tunapendana sana.nifanyeje wadau
Mkuu maishani mwako hujawahi kufanya baby come back? all i know ni kuwa uhawara huwa haufi,mnaweza kupumzishana ny......ikirudi mnakumbushia,mimi baadhi ya wasichana wangu wa sekondari/chuo hadi leo hii na utu uzima huu siku moja moja.....Kwanini watu wengi upendelea kula matapishi yao?
na wewe pia hujui lugha vema,Masahihisho:
Tuliludiana = Tuliruduana
Ahibu = Hajibu
Ahisikii + Hajisikii
Waalimu wa kiswahili hasa hizi accademy feki hizi wanatuharibia watoto wetu Lol!!! Koswahili ziiiiiiii:A S embarassed:
:alien:
matapishi huwa hayalambwi. Move on. . .