sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,847
hata mimi nshawah kuwa na scnd phase kwenye mahusiano ni balaa jamani, yani vurugu mtindo mmoja mpaka kupigana. sa nyingine unafwata nyumbani hadi sa 6 usiku kuhakikisha kama upo. so ma dia hzo ni dalili kwamba hapo hautakiwi tena fungasha usepe faster mana mwisho wa siku utaumizwa vibaya mno cz mim mwishowe nilimfumania my men na mwanamke mwingine in our room ndo nkaamini kwamba ah sitakiwi hapa but niliondoka na majonzi kushinda mwanzo tulivyoachana. sepa mama tena faster