Anautesa moyo wangu

Anautesa moyo wangu

hata mimi nshawah kuwa na scnd phase kwenye mahusiano ni balaa jamani, yani vurugu mtindo mmoja mpaka kupigana. sa nyingine unafwata nyumbani hadi sa 6 usiku kuhakikisha kama upo. so ma dia hzo ni dalili kwamba hapo hautakiwi tena fungasha usepe faster mana mwisho wa siku utaumizwa vibaya mno cz mim mwishowe nilimfumania my men na mwanamke mwingine in our room ndo nkaamini kwamba ah sitakiwi hapa but niliondoka na majonzi kushinda mwanzo tulivyoachana. sepa mama tena faster
 
pole sana.. ila one thing mliachana sababu mlikuwa hampendani ila kama mlikuwa mnapendana hata msingeachana.
 
guys mi nina mpenzi ambaye tuliachana then tukaludiana,tena kwa kuwaacha wapenzi tuliokua nao.The problem ni kwamba nashangaa sasa ivi mwenzangu hanijali tena.nikimtumia msg hajibu,amekua mkali nikiongea nae na wala hajisikii kunipigia.yan naona kiufupi hajisikii kuhusu mimi,nampenda sana sijui nifanyeje na najua tuliludiana kwasababu tulikua tunapendana sana.nifanyeje wadau
Kuna wana JF humu wakituma post zao wanatufanya tusichangie ila tuwafundishe lugha. Ulisahau hizo "h" na kwenye "lu" inatakiwa kuwa "ru".
 
Kwanini watu wengi upendelea kula matapishi yao?
Mkuu maishani mwako hujawahi kufanya baby come back? all i know ni kuwa uhawara huwa haufi,mnaweza kupumzishana ny......ikirudi mnakumbushia,mimi baadhi ya wasichana wangu wa sekondari/chuo hadi leo hii na utu uzima huu siku moja moja.....
 
Teens always they hav issues, let them deal with their issues their own way.
 
jamaa hana msimamo. nachoamini hanaufahamu ukweli ila tatizo ni kwamba hataki kukubaliana nao. belive me anajua nini cha kufanya kwaiyo cha msingi tumuambie atafakali then achukue hatua na maamuzi ni mawili tu .
 
ulirudiana naye sababu wewe ni lover yaani unapenda hata usipopendwa alf inawezekana wazo la kurudiana ulilitoa wewe.
 
pole sana huyo mtu wako tayari ana mtu mwingine, hata usijisumbue!!!!
Njia nzuri ya kufanya ni kumkaushia na yeye pia yaani usimpigie simu wala kumtumia msg kwa muda hata wa siku mbili hivi ukiona naye amekulia bati (yaan amekukaushia) badili namba ya simu na uachane nae milele kuanzia sasa!
Usijali sana Mungu atakupa wako atakayekupenda kwenye shida na raha zote.
 
Sasa wewe unataka uone nini ndo uamini kwamba huna chako hapo na hakupendi? dalili ya mvua ni mawingu....chapa lapa
 
mwaya pole sana....... ila mchunguze kwanza b4 ya kumake n decision.
fight 4 da 1 u love mm nimekuona kama he ww so she kujirud rahis
gv t some tym rafik.
 
Masahihisho:
Tuliludiana = Tuliruduana
Ahibu = Hajibu
Ahisikii + Hajisikii

Waalimu wa kiswahili hasa hizi accademy feki hizi wanatuharibia watoto wetu Lol!!! Koswahili ziiiiiiii:A S embarassed:
:alien:
na wewe pia hujui lugha vema,
Waalimu=Walimu
accademy=academy
Koswahili=Kiswahili
 
matapishi huwa hayalambwi. Move on. . .

Licha ya hivyo ujue 'what goes around comes around'...huyu kajifanya kumuacha yule jamaa yake wa mwanzo akidhan huyu ndie best,usikute jamaa alikuwa anataka kupata mjegejo so kamla weeeeee, mpaka hamu imeisha anamuona kama nzi sasa... Hapo hakuna cha kusubiri..huna chako!! Pengine mlipokubaliana kuwaacha wapenzi wenu yeye kule wala hakumuacha wa kwake.. Imekula kwako na kama uliondoka kwa vijembe na matarumbeta kule lazima utaisoma number..
 
Back
Top Bottom