Anavalishwa pete ya ndoa na mamsapu wake lakini! Mmmmm! Mimi sijamsoma

Anavalishwa pete ya ndoa na mamsapu wake lakini! Mmmmm! Mimi sijamsoma

Morning_star

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Posts
6,042
Reaction score
17,320
Screenshot_20240625_162731_Facebook.jpg
 
Jamaa anajiuliza!! Daah! Sasa nimefunga ndoa na hili zigo si ndo balaa limepata uhalali??😂😂😊😂
 
Kwani hii ni harusi au mchezo wa kuigiza....
 
"Mwahili akupata matako hulia nbwata" . Hao wanaonesha washaishi sana nje ya ndoa na kuzaa na hapo walipo watoto ni wakubwa. Mambo yalipojipa wakaamuwa wafanye sherehe.

Sherehe, ngoma, kulewa, jkujionesha, kujifaharisha ni
ujinga wa mwafrika, hususan Mtanzania, usiopona.
 
Back
Top Bottom