Anavalishwa pete ya ndoa na mamsapu wake lakini! Mmmmm! Mimi sijamsoma

Jamaa anajiuliza!! Daah! Sasa nimefunga ndoa na hili zigo si ndo balaa limepata uhalali??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ŠπŸ˜‚
 
Kwani hii ni harusi au mchezo wa kuigiza....
 
"Mwahili akupata matako hulia nbwata" . Hao wanaonesha washaishi sana nje ya ndoa na kuzaa na hapo walipo watoto ni wakubwa. Mambo yalipojipa wakaamuwa wafanye sherehe.

Sherehe, ngoma, kulewa, jkujionesha, kujifaharisha ni
ujinga wa mwafrika, hususan Mtanzania, usiopona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…