Anavyopenda madaraka huenda akalazimisha Lissu anyongwe.

Anavyopenda madaraka huenda akalazimisha Lissu anyongwe.

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,366
Reaction score
5,209
Ni kiongozi pekee ambae Afrika imethibitishsa kuwa anapenda madaraka.

Alilazima Ndugai ajiuzulu, na alifuta safu yote iliyokuwa karibu na mtangulizi wake.

Kwa Lissu ni kikwazo cha ufisadi wake huenda akamuua kwa kumnyonga.
 
Kuna mama mmoja wa makamo mimi na yeye nahisi umri unalingana au namzidi kidogo nilikua kila nikikatisha sehemu anapoishi nikamsalimia akawa haniitikii kabisa kikapita kipindi kirefu sana nikiwa nakatisha naelekea ninapoishi napita nikiwa kimya sitoi salamu yoyote ikawa siku moja nikamkuta na mama mmoja huyo mama namfahamu na mimi ananifahamu nahisi akawa anamuelezea kuhusu mimi nikashangaa tu ghafla hivi ule utaratibu wa mwanzo umebadirika sasa ni yeye ndie anaeanza kulazimisha salamu kwangu na siku zote hizo sikuwahi kumzingatia kabisa, sasa jana majira ya usiku nikiwa nimepumzika sehemu akapita na kunisalimia kwa bashasha na tabasamu la bei nafuu, nikabakia nimeduwaa tu ila nitafanyaje ikabidi nimuitikie ndio wanawake walivyo ni suala la muda tu mtu atachapwa na mkia
 
Back
Top Bottom