Sharif walid
Member
- Sep 21, 2026
- 96
- 90
Khabari ndugu zangu wana bodi.
Kichwa cha khabari cha husika.
Nina ulemavu wa miguu nilio upata kwa ajali.Nime fanyiwa upasuaji mara 2 lakini bado yana hitajika matibabu mengi ya garama ila bahti mbaya khali yangu ni duni sana.
Anaye jua tahasisi au sehemu nina weza kupata msaada wa matibabu kama mlemavu ani juze.
Nitangu lize shukrani zangu.