Anaye kukopesha ndio unamlipa kukufanyia kazi.

Anaye kukopesha ndio unamlipa kukufanyia kazi.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Mwanauchumi wa kimataifa, John Perkins anakwambia huwa wanazikopesha pesa nchi za Afrika.
Zijenge miundombinu.
Kinachotokea, zile pesa zinalipwa kampuni zao kufanya huo ujenzi.
Kwa maana hiyo, pesa wanazotoa, zinarudi mifukoni mwao.
Nchi za Kiafrika zinakuwa na madeni kwa pesa ambazo hazijakaa sana kwao.
Na kwenye malipo hawalipwi pesa.
Wanalipwa bidhaa.

Hii dunia akili mtu wangu.

Ni sawa nakukopesha pesa ufunge bomba la maji, halafu fundi ni mimi😂😂😂
IMG_0937.jpeg
 
Na vifaa vya ujenzi unanua kwa aliekukopesha
Hata kama utanunua kwako ila kiwango kikubwa Cha pesa kitarud kwako Miradi yote ya world bank ya ujenzi wanataka engineer atoke nje n awe na mtaji kiasi gani bado wasimamizi wakubwa wa mradi wanatoka kwao
 
Mwanauchumi wa kimataifa, John Perkins anakwambia huwa wanazikopesha pesa nchi za Afrika.
Zijenge miundombinu.
Kinachotokea, zile pesa zinalipwa kampuni zao kufanya huo ujenzi.
Kwa maana hiyo, pesa wanazotoa, zinarudi mifukoni mwao.
Nchi za Kiafrika zinakuwa na madeni kwa pesa ambazo hazijakaa sana kwao.
Na kwenye malipo hawalipwi pesa.
Wanalipwa bidhaa.

Hii dunia akili mtu wangu.

Ni sawa nakukopesha pesa ufunge bomba la maji, halafu fundi ni mimi😂😂😂
View attachment 3280482
Dah! Mbaya zaidi maengineer wetu wanaambiwa wakasome veta halafu maengineer wa nje ndo wanapewa miradi.
 
Back
Top Bottom