Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Tokea tupate uhuru hakuna hata chama pinzani kilicho shikilia nafasi yoyote kama raisi,waziri mkuu wala waziri yoyote mwenye dhamana.
tuna fahamu kila raisi anayetoka ni wa ccm lakini kila anayekuja kubeba nafasi hiyo uonesha mwenzake aliyetoka alishindwa au kasoro fulani huku akisindikizwa na wale wafuasi wake wakumpamba kwa jina chawa.
usije shangaa 2025 kampeni ukaambiwa aliyopo ndio kakuza uchumi.
kwenye kampeni ukichunguza na ili makonda analolifanya hafahamu vyote vipo ccm sio chama pinzani