Anayeajiri warembo wa promo za simu Kariakoo haendi peponi

Ukimwi ushazoeleka bora limekuja hili jipya lituzindue upya.
dah! kweli katika maisha kila mtu anavipa umbele vyake, yaani kuona wadada wapo kazini corona inasimama??
itakua haupo serious na life mkuu
 
Siwezi nikasahau kuna mwaka flani kariakoo nilitaka kutongoza mdoli
Kuna kamtaa wanauza Sana mawigi halafu mawigi yamevishwa kwenye vichwa vya midoli na hiyo midoli inafanana na hao mabinti wanaouza mawigi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…