Anayeajiri warembo wa promo za simu Kariakoo haendi peponi

Aah hao wote kashawachakata we muone tu biashara sio simu pale bwege we.
 
Aloo mna utani.....
Mnataka Mtu apige Watu picha k.koo???
Ni ngumu sana...Hata kwa kujificha ni ngumu sana.....

Angepiga tuuu..... KUNA UWEZEKANO
Huu uzi mngeusikia kwenye bomba au
Heading ingesomeka tofaut... tena ya kuhuzunisha.....

Pale China plazza ni kwikwii....
KAMA UNA WENGE
Ukiingia hakikisha jina la simu unayoitaka
Umeliandika kwenye karatasi....

Kuna ka Dada Flan hv Ukijidanganya ukakaangalia Usoni...
Kwisha habar yako.....
Ukitoka nje ukishtuka umeshika Cover na memory....
 

Sasa eti umeshika iphone 11 juu juu unapiga watu picha si ndo unataka wakuone una dharau, watu walivyo washirikina watakung’ang’ania kama mpira wakona watakuambia unataka upeleke wapi picha zetu mwisho wake utasachiwa hadi socksi ana usijue nani kaipitia iyo iphone yako. Wengi wanaoulizia picha humu ni wakuda tuu wanaelewa kabisa habari ya hao madada wa promosheni.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao hao Wadada unakuta wana stress za Maisha...
Na hio ndio itakua ndio njia ya Mateja kupita na simu yako.
 
kwani huyu ni kidukulilo kaja na jina ingine ? ahahaha nlisahau kidukulilo hatembei kwa mguu daaaah na haendagi kariakoo daaah


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kiduku lilo alipitaga kkoo Mara moja wapuuzi na vijiusafiri vyao wakamkwangulia gari lake, aliapa kutopita tena😁
 
Ndio shida ya wa huo mkoa pisi za maana ziko mlimani meru huku machotara ya kisrael inalima karoti tu!utamu wa pipi ni mate yako!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…