Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Sasa mbona wanishangaa kuomba pichahapana, unaona kabisa tena vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona wanishangaa kuomba pichahapana, unaona kabisa tena vizuri.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Khantwe bwana
[emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Khantwe bwana
Hivi shemeji ujue dada yako ananipa majaribu ambayo naweza kuyashindwa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Khantwe bwana
Ebu endelea kumvumilia tuHivi shemeji ujue dada yako ananipa majaribu ambayo naweza kuyashindwa?
uvumilivu una mwisho oohooo.Ebu endelea kumvumilia tu
Aloo mna utani.....
Mnataka Mtu apige Watu picha k.koo???
Ni ngumu sana...Hata kwa kujificha ni ngumu sana.....
Angepiga tuuu..... KUNA UWEZEKANO
Huu uzi mngeusikia kwenye bomba au
Heading ingesomeka tofaut... tena ya kuhuzunisha.....
Pale China plazza ni kwikwii....
KAMA UNA WENGE
Ukiingia hakikisha jina la simu unayoitaka
Umeliandika kwenye karatasi....
Kuna ka Dada Flan hv Ukijidanganya ukakaangalia Usoni...
Kwisha habar yako.....
Ukitoka nje ukishtuka umeshika Cover na memory....
Nishangae uumbaji wa MunguPicha za wanawake wenzako za nini mkuu ?
Sina insta, nasubiria iphone utakayoniletea ndio nipakue instaNenda Insta mkuu
Hao hao Wadada unakuta wana stress za Maisha...Sasa eti umeshika iphone 11 juu juu unapiga watu picha si ndo unataka wakuone una dharau, watu walivyo washirikina watakung’ang’ania kama mpira wakona watakuambia unataka upeleke wapi picha zetu mwisho wake utasachiwa hadi socksi ana usijue nani kaipitia iyo iphone yako. Wengi wanaoulizia picha humu ni wakuda tuu wanaelewa kabisa habari ya hao madada wa promosheni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiduku lilo alipitaga kkoo Mara moja wapuuzi na vijiusafiri vyao wakamkwangulia gari lake, aliapa kutopita tena😁kwani huyu ni kidukulilo kaja na jina ingine ? ahahaha nlisahau kidukulilo hatembei kwa mguu daaaah na haendagi kariakoo daaah
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kiduku lilo alipitaga kkoo Mara moja wapuuzi na vijiusafiri vyao wakamkwangulia gari lake, aliapa kutopita tena[emoji16]
Ndo tulivyoumbwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa wewe utakuwa nilifisi hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi wakusifia warembo ambao hauna picha uwa siuelewag mzeee
Embu utendeee hakii
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio shida ya wa huo mkoa pisi za maana ziko mlimani meru huku machotara ya kisrael inalima karoti tu!utamu wa pipi ni mate yako!!!!!!!!Yaani kkoo sasa hv mitaa ya maduka ya simu kuna pisi yaani zile pisi za promotion za heineken, whindhoek zinasubiri. Yaani jamaa anayeaJiri hao viumbe anapointi vitu hatari, yaani ukute wamepiga zile jinsi na tsheti zenye nembo za infinix au oppo zao unaweza jikuta unafata nyuma nyuma hadi corona inanyanyuka[emoji16].
Yaani unaweza jikuta una iphone 11 mwisho wa siku unashtuka umenunua li infinix bila kutegemea. Yaani nimetupa li infinix kwenye dustbin baada ya kujitambua utafikiri nimerogwa yaani.
Sent using Jamii Forums mobile app