JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
Yaani kkoo sasa hv mitaa ya maduka ya simu kuna pisi yaani zile pisi za promotion za heineken, whindhoek zinasubiri. Yaani jamaa anayeaJiri hao viumbe anapointi vitu hatari, yaani ukute wamepiga zile jinsi na tsheti zenye nembo za infinix au oppo zao unaweza jikuta unafata nyuma nyuma hadi corona inanyanyuka[emoji16].
Yaani unaweza jikuta una iphone 11 mwisho wa siku unashtuka umenunua li infinix bila kutegemea. Yaani nimetupa li infinix kwenye dustbin baada ya kujitambua utafikiri nimerogwa yaani.
Sent using Jamii Forums mobile app