Anayedaiwa kukamatwa na polisi mwili wake wakutwa ukielea ziwani

Kazi ya polisi ndani ya nchi yetu, inatumika vibaya sana.
 
Kuna watu wao kwenda Mbinguni hawataki kabisaaa...

Unatoaje roho ya mtu? Unamdhulumu maisha yake, Unampiga mtu risasi unamkata mapanga anavyolia wewe husikii hata huruma! Kuna watu ni makatilii wana laana
Kabisa! Tunashindwa kuifanya dunia sehem salama ya kuishi!.
Huwa najiuliza hivo hivo unakuwaje unamtendea mtu ubaya( mauwaji, wizi, kurogana, uchawi e.t.c) ili hali hakuna anayeishi milele.
Watu hawana hofu kabisa ya Mungu.
 
Swala la mda tu, Tumsime yatamkuta ya kumkuta. Maana Hili swala lipo kisiasa sana,

Yawezekana
1. Waliomtumia kuchapisha hizo habari wamemuua ili kupoteza ushahidi
2. Team ya ex- mkuu wa mkoa wameamua kulipa kisasa (Inasemekana mama na ex- RC ni miongoni mwa wasiojulikana)
......
Kifuatacho ITV Tumsime akae tayari maana pande zote zinaweza kufanya chochote aidha
1. Kufuta ushahidi (waliomtumia)

2. Kulipa kisasi maana wanajua fika kuwa Ex- RC kashaharibikiwa mazima
 
Umeshapata taarifa ni nani kauawa,mbona unakimbilia kwa tumsime wakati aliyeuawa ni kijana wa kiume huko Muleba na mwandishi unayemzungumzia wewe aliyekamatwa na polusi ni wa kike?
 
Kwa wanahabari makini, hii ndio ilipaswa kuwa habari kuu katika magazeti yote ya leo.
 
Swala la mda tu, Tumsime yatamkuta ya kumkuta. Maana Hili swala lipo kisiasa sana,

Yawezekana
1. Waliomtumia kuchapisha hizo habari wamemuua ili kupoteza ushahidi
2. Team ya ex- mkuu wa mkoa wameamua kulipa kisasa (Inasemekana mama na ex- RC ni miongoni mwa wasiojulikana)
......
Kifuatacho ITV Tumsime akae tayari maana pande zote zinaweza kufanya chochote aidha
1. Kufuta ushahidi (waliomtumia)

2. Kulipa kisasi maana wanajua fika kuwa Ex- RC kashaharibikiwa mazima
Tulia . Punguza pressure
 
Kuna watu wao kwenda Mbinguni hawataki kabisaaa...

Unatoaje roho ya mtu? Unamdhulumu maisha yake, Unampiga mtu risasi unamkata mapanga anavyolia wewe husikii hata huruma! Kuna watu ni makatilii wana laana
Pole sana mkuu. CCM unawatishia na kutokwenda mbiguni? Hawa lugha watakayoisikia ni wananchi kufanya riot kubwa kabisa na kuwavurumusha. Trust me, hakuna njia nyingine.
 
Swala la mda tu, Tumsime yatamkuta ya kumkuta. Maana Hili swala lipo kisiasa sana,

Yawezekana
1. Waliomtumia kuchapisha hizo habari wamemuua ili kupoteza ushahidi
2. Team ya ex- mkuu wa mkoa wameamua kulipa kisasa (Inasemekana mama na ex- RC ni miongoni mwa wasiojulikana)
......
Kifuatacho ITV Tumsime akae tayari maana pande zote zinaweza kufanya chochote aidha
1. Kufuta ushahidi (waliomtumia)

2. Kulipa kisasi maana wanajua fika kuwa Ex- RC kashaharibikiwa mazima
Una uhakika ni yeye? Unajua kama huna uhakika utakuwa unawaweka watu wake kwenye hofu kubwa?
 
Kabisa! Tunashindwa kuifanya dunia sehem salama ya kuishi!.
Huwa najiuliza hivo hivo unakuwaje unamtendea mtu ubaya( mauwaji, wizi, kurogana, uchawi e.t.c) ili hali hakuna anayeishi milele.
Watu hawana hofu kabisa ya Mungu.
Kuusia wahalifu kuwa na hofu ya Mungu au nao watakufa nako ni uendawazimu mwingine. Ingekuwa inafanya kazi unadhani hii dunia ingekuwa na wahalifu?
 
Una uhakika ni yeye? Unajua kama huna uhakika utakuwa unawaweka watu wake kwenye hofu
Ipi ni heri!
Kuwapa angalizi au yawakute ya kuwakuta na wewe uje ku RIP hapa tena ukijifanya kulaani? Watu wengine bana
 
Hii ishu ilitosha kwa nchi ambayo wananchi wake wanajielewa na sio waoga kuingia road na kuondoa ama kuua baadhi ya watu walioko madarakani.
Why wamuue kisa kuandika habari za rc kulawiti Ila huyu binti wa kihaya ataondoa wengi tokea amfunge bodaboda.
Yaani mhaya ni WA kuogopa Kama ukoma.
Walimkamata na ushahidi upo hata chairman wao alisema.
Ila bana ndio mana wanawabania watu suala la elimu ili watu wasiamke wawe makondoo wazidi kutawaliwa hawana ujasiri pia elimu hawana.
Cheki Kilimanjaro walivyosoma huwa wanahoji na vyama vingi vya siasa vinatokea huko kwao na cheki tarime hawajasoma Ila ujasiri wao unawasaidia kidogo ingawa jamaa wanatumia silaha.
Ndani ya mwezi huu ama uliopita wameiba vijana kadhaa ambao wanatafuta Yale makapi ambayo mzungu anatupa.

Huwezi wasikia uvccm wanatumia jukwaa ama wachungaji wa kidini wakikemea hili suala Mana hawajapewa maji ama bahasha ama kupigiwa simu na mdhamini wao
 
Kwani huyo mwandishi wa kike,ndiyo kafa??

Ova
 
Back
Top Bottom