Anayedaiwa kukamatwa na polisi mwili wake wakutwa ukielea ziwani

Anayedaiwa kukamatwa na polisi mwili wake wakutwa ukielea ziwani

Kuna watu wao kwenda Mbinguni hawataki kabisaaa...

Unatoaje roho ya mtu? Unamdhulumu maisha yake, Unampiga mtu risasi unamkata mapanga anavyolia wewe husikii hata huruma! Kuna watu ni makatilii wana laana
Kwa kweli,
Ni unyama Sanaa na ukatili ulio vuka mipaka
 
Swala la mda tu, Tumsime yatamkuta ya kumkuta. Maana Hili swala lipo kisiasa sana,

Yawezekana
1. Waliomtumia kuchapisha hizo habari wamemuua ili kupoteza ushahidi
2. Team ya ex- mkuu wa mkoa wameamua kulipa kisasa (Inasemekana mama na ex- RC ni miongoni mwa wasiojulikana)
......
Kifuatacho ITV Tumsime akae tayari maana pande zote zinaweza kufanya chochote aidha
1. Kufuta ushahidi (waliomtumia)

2. Kulipa kisasi maana wanajua fika kuwa Ex- RC kashaharibikiwa mazima
Wewe ni First Suspect kwa lolote litakalo mtokeaa uyo binti
 
Ipi ni heri!
Kuwapa angalizi au yawakute ya kuwakuta na wewe uje ku RIP hapa tena ukijifanya kulaani? Watu wengine bana
Wewe ni mjinga kabisa. Unawezaje kumpa angalizo mtu kuwa ndugu yako amekufa wakati huna uhakika? Hili ni agalizo au uchuro na upumbavu wa hali ya juu! Angalizo linatolewa kabla ya mabaya kumpata mtu!
 
Swala la mda tu, Tumsime yatamkuta ya kumkuta. Maana Hili swala lipo kisiasa sana,

Yawezekana
1. Waliomtumia kuchapisha hizo habari wamemuua ili kupoteza ushahidi
2. Team ya ex- mkuu wa mkoa wameamua kulipa kisasa (Inasemekana mama na ex- RC ni miongoni mwa wasiojulikana)
......
Kifuatacho ITV Tumsime akae tayari maana pande zote zinaweza kufanya chochote aidha
1. Kufuta ushahidi (waliomtumia)

2. Kulipa kisasi maana wanajua fika kuwa Ex- RC kashaharibikiwa mazima
Punguza ujuaji mkuu.
 
Hii ishu ilitosha kwa nchi ambayo wananchi wake wanajielewa na sio waoga kuingia road na kuondoa ama kuua baadhi ya watu walioko madarakani.
Why wamuue kisa kuandika habari za rc kulawiti Ila huyu binti wa kihaya ataondoa wengi tokea amfunge bodaboda.
Yaani mhaya ni WA kuogopa Kama ukoma.
Walimkamata na ushahidi upo hata chairman wao alisema.
Ila bana ndio mana wanawabania watu suala la elimu ili watu wasiamke wawe makondoo wazidi kutawaliwa hawana ujasiri pia elimu hawana.
Cheki Kilimanjaro walivyosoma huwa wanahoji na vyama vingi vya siasa vinatokea huko kwao na cheki tarime hawajasoma Ila ujasiri wao unawasaidia kidogo ingawa jamaa wanatumia silaha.
Ndani ya mwezi huu ama uliopita wameiba vijana kadhaa ambao wanatafuta Yale makapi ambayo mzungu anatupa.

Huwezi wasikia uvccm wanatumia jukwaa ama wachungaji wa kidini wakikemea hili suala Mana hawajapewa maji ama bahasha ama kupigiwa simu na mdhamini wao
umethibitisha kuwa marehemu ni huyo unayemtaja?
 
Kuna watu wao kwenda Mbinguni hawataki kabisaaa...

Unatoaje roho ya mtu? Unamdhulumu maisha yake, Unampiga mtu risasi unamkata mapanga anavyolia wewe husikii hata huruma! Kuna watu ni makatilii wana laana

Hii ndio afrika, kuuwa mtu ni kama anauwa mende

Watu makatili sana, wanasahau kuna kifo
 
Habari hii nimeisikia asubuhi hii kupitia RFA magazeti, mwenye taarifa atujuze ni nani ukizingatia kuna yule mwandishi wa kanda ya ziwa anayedaiwa kuandika sakata la mkuu wa mkoa kukamatwa na polisi akiwa Musoma.
Mkuu ungeuliza ni nani bila kugussia mwandishi aliye mikononi mwa polisi...tafuta habari kamili...
 
Mkuu ungeuliza ni nani bila kugussia mwandishi aliye mikononi mwa polisi...tafuta habari kamili...
Post hii haikukuhusu, Post iko kwenye "Tetesi" ikiomba mwenye taarifa kama yupo atujuze, kwa unavyotaka isingekuwa kwenye tetesi, tujifunze kufuata maelekezo.
 
Back
Top Bottom