Anayedaiwa kukamatwa na polisi mwili wake wakutwa ukielea ziwani

Kuna watu wao kwenda Mbinguni hawataki kabisaaa...

Unatoaje roho ya mtu? Unamdhulumu maisha yake, Unampiga mtu risasi unamkata mapanga anavyolia wewe husikii hata huruma! Kuna watu ni makatilii wana laana
Kwa kweli,
Ni unyama Sanaa na ukatili ulio vuka mipaka
 
Wewe ni First Suspect kwa lolote litakalo mtokeaa uyo binti
 
Ipi ni heri!
Kuwapa angalizi au yawakute ya kuwakuta na wewe uje ku RIP hapa tena ukijifanya kulaani? Watu wengine bana
Wewe ni mjinga kabisa. Unawezaje kumpa angalizo mtu kuwa ndugu yako amekufa wakati huna uhakika? Hili ni agalizo au uchuro na upumbavu wa hali ya juu! Angalizo linatolewa kabla ya mabaya kumpata mtu!
 
Punguza ujuaji mkuu.
 
umethibitisha kuwa marehemu ni huyo unayemtaja?
 
Kuna watu wao kwenda Mbinguni hawataki kabisaaa...

Unatoaje roho ya mtu? Unamdhulumu maisha yake, Unampiga mtu risasi unamkata mapanga anavyolia wewe husikii hata huruma! Kuna watu ni makatilii wana laana

Hii ndio afrika, kuuwa mtu ni kama anauwa mende

Watu makatili sana, wanasahau kuna kifo
 
Habari hii nimeisikia asubuhi hii kupitia RFA magazeti, mwenye taarifa atujuze ni nani ukizingatia kuna yule mwandishi wa kanda ya ziwa anayedaiwa kuandika sakata la mkuu wa mkoa kukamatwa na polisi akiwa Musoma.
Mkuu ungeuliza ni nani bila kugussia mwandishi aliye mikononi mwa polisi...tafuta habari kamili...
 
Mkuu ungeuliza ni nani bila kugussia mwandishi aliye mikononi mwa polisi...tafuta habari kamili...
Post hii haikukuhusu, Post iko kwenye "Tetesi" ikiomba mwenye taarifa kama yupo atujuze, kwa unavyotaka isingekuwa kwenye tetesi, tujifunze kufuata maelekezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…