Anayedaiwa kumuingiza nyeti mtoto mdomoni kuhukumiwa

Anayedaiwa kumuingiza nyeti mtoto mdomoni kuhukumiwa

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
1578664063196.png

Dar es Salaam. Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam nchini Tanzania imepanga Januari 20, 2020 kutoa hukumu kwa mshtakiwa Liziki Kessy anayekabiliwa na shtaka la kumwingiza uume wake mdomoni mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka saba ili aunyonye.

Kesi hiyo ilikuwa imepangwa kwa ajili ya kuendelea na ushahidi kwa upande wa utetezi lakini ilishindwa kuendelea baada mshtakiwa huyo kudai hana shahidi.

Kesi hiyo inayosikilizwa na Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo, Hudi Hudi ilimtaka Kessy amwite shahidi anayemtetea ndipo mshtakiwa huyo akadai aliyekuwa akimtegemea yupo nje ya mkoa hivyo gharama ya kumsafirisha kuja jijini Dar es Salaam ni kubwa.

Wakili wa Serikali, Daisy Makakala leo Ijumaa Januari 10, 2020 amedai shauri lilikuja kwa ajili ya kuendelea kusikiliza utetezi kutokana na shahidi kutokuwapo aliiomba mahakama hiyo ipange tarehe kwa ajili kusoma hukumu.

Hukumu hiyo inatarajiwa kutolewa baada ya upande wa mashtaka kuita mashahidi watano huku upande wa utetezi ukileta mashahidi watatu akiwemo mshtakiwa mwenyewe.

Kesi ya msingi mshtakiwa anadaiwa kutenda kosa la shambulio la aibu, Julai 24 mwaka 2018 maeneo ya Kimara Stop Over Dar es Salaam mshtakiwa ulimwingizia uume wake mdomoni na katika njia ya haja kubwa mtoto wa kiume wa miaka saba.

Mwananchi
 
Hawa ndio wanaotakiwa kupigwa money laundering na utakatishaji pesa
 
Unataka malaya akukate mboo, wana viwembe na wanatahadhari ya wateja wenye hizo akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati wa kufany hiyo kitu lazima ujipange kwanza

Lazima uvae suruali ya track ili uweze kupandisha kwa haraka na kuchokoka ile fasta kama Hussen bolt

Na zingatia kuto kuivua yote Ni kima flan tu cha kuweza kucontrol game

Usije vaa jinsi utashikwa mapema kw maana process zake ni nyingi upandishie ufunge mkanda utashtukiwa
 
Back
Top Bottom