Anayedaiwa kumuingiza nyeti mtoto mdomoni kuhukumiwa

Mbona wanyama hawafanyi vitendo kama hivi? Na ni ngumu hata kumkuta jogoo anamkimbiza kifaranga
 
Disgrace to manhood

Don't hunt what you can't kill.
 
kuna matendo mengine mi nikisikia nakua siamini kama binadamu ndiye anayafanya maana hata Shetani mwenyewe hawezi kufanya hayo...
 
Kila siku mimi nahimiza sheria ya kuhasiwa, ingelifufuliwa kwa kujadiliwa Bungeni upya, ndiyo ingelikuwa ni mwarobaini ya kufaa.

Mtu akibainika bila kuacha shaka kwamba katenda, zinang'olewa zote na kuachiwa mkuyenge kwa ajili ya ukikojozi kisha anaachiliwa aende zake akaendelee na maisha mapya yenye dhiki.

Miaka 30 huku akidindisha bado ni wadhifa, maana uanaume ni cheo cha heshima sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anakuitia mwizi wauni wanakutia tairi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…