Anayedaiwa kumuua mkewe ajirusha na kuligonga treni, afariki dunia

Anayedaiwa kumuua mkewe ajirusha na kuligonga treni, afariki dunia

Natamani kuishi over 70 years...Mungu nibariki...
 
Hao wanaojiua au kuuliwa kisa ndoa ni wapumbavu...kuna sehemu hawako vzr vichwani..wanashindwa kitu kimoja tuu Upendo...
 
Jana katika pita pita zangu pale Mabibo relini nikiwa na ka gari kangu i.s.t nimetoka job stendi wakati nakaribia reli ya Mabibo nilidikia hone ya treni ikabidi nisimame kumpisha mwamba, sasa pembeni mbali kidogo na barabara kuna jamaa alikuwa kasimana karibu na reli sasa tren ishapiga hone zaidi ya mara 4 huku inaendelea kuja!

Jamaa bila wasiwasi wala hofu pembeni watu wanamwita aondoke ila jamaa alijifanya hana habari lahaulaa sekunde kadhaa niliona nyama nyama tuu huku kichwa kikiwa kama silesi ya mkati huku pembeni kukiwa na urojo kama ugali maziwa alafu ubonde bonde na maziwa yake[emoji1784][emoji1784]!ile hali imanifanya hadi leo nimeshindwa kula nyama mtaani wakati nyama zilikuwa nje nje.

Note.nimefuatilia lile tukio ikasemekana jamaa alimuuwa mkewe kwa hiyo alikuwa na msongo wa mawazo sijajua nini kinaendelea huko,inauma sanaa
 
Ndio Idd el Adha.
Idd el Adha miaka kadhaa iliyopita tanker la petroli lilianguka Morogoro
 
Rekebisheni sheria ya ndoa, inayokandamiza haki ya mwanaume mtaepusha mengi nyie kenge mlioko huko bungeni tazameni sheria ya haki ya kutalakiana inayomkandamiz mwanaume
 
Mapenzi yatawatesa na kuwa ua sana, poleeeenii.
 
Ndio maana sipendi kupendwa sana wala kupenda sana. Dem akikupenda sana ni kujitengenezea kifo.

Mmependane kawaida huku mkijua mtu anaishi maisha mengine nje ya hayo mapenzi yenu. Kuna wale kutwa kucha anataka mchart, muongee, mkutane yaani malavidavi kama yote.

Sasa ikitokea mkayafanya hayo halafu mkastop kwa ubize au namna gani vipi mmoja kati yenu aliempenda zaidi mwenzie anaanza kuweka viulizo, viulizo huzaa maswali, maswali huzaa hisia, hasi au chanya zikiwa chanya afadhari zikiwa hasi huzaa msamaha au kisasi, ikiwa msamaha afadhari ila ikiwa kisasi huzaa mawindo na au kifo.
 
Back
Top Bottom