Ndio maana sipendi kupendwa sana wala kupenda sana. Dem akikupenda sana ni kujitengenezea kifo.
Mmependane kawaida huku mkijua mtu anaishi maisha mengine nje ya hayo mapenzi yenu. Kuna wale kutwa kucha anataka mchart, muongee, mkutane yaani malavidavi kama yote.
Sasa ikitokea mkayafanya hayo halafu mkastop kwa ubize au namna gani vipi mmoja kati yenu aliempenda zaidi mwenzie anaanza kuweka viulizo, viulizo huzaa maswali, maswali huzaa hisia, hasi au chanya zikiwa chanya afadhari zikiwa hasi huzaa msamaha au kisasi, ikiwa msamaha afadhari ila ikiwa kisasi huzaa mawindo na au kifo.