Anayedaiwa kuwa Katibu Wa UVCCM wilaya ya Chemba Dodoma acharangwa mapanga na Mchepuko wake

Rasterman

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
33,894
Reaction score
44,117
KATIBU wa {UVCCM} wa Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma,Ramadhani Kiula amejeruhiwa vibaya kichwani kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali na Mwenyekiti wa UWT ,Fatuma Ramadhani anayedaiwa ni mchepuko baada ya kumkuta na mchepuo mwingine aitwaye, Hamida Kondo akilishwa chakula.

Kama habari ilivyotolewa na Ngilisho Tv.
 
hii tabia ya ufuska itawamaliza.........maana naona sasa watu wamechoka, na watu wasipo badilika basi mauaji yatazidi kuendelea, tutaendelea kushuhudia mauaji kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…