Jendahyeka
Member
- May 17, 2021
- 46
- 122
*****
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi alichanganyikiwa kiasi cha kuona nyota nyota au🥱*****
Inawezekana maana ndio zao, wamemtuma huyo mamluki ajifanye UWT afanye yakeBavicha hao
Kauli ipiMlishaambiwa 'Nyooookeni nao'.
Madam wa UWT umeitekeleza kwa vitendo.
😅😅😅Inawezekana maana ndio zao, wamemtuma huyo mamluki ajifanye UWT afanye yake
Kazi iendelee......Greenguard wameamua kuoneshana umwambaKwa kuwa ni Makada wameadabishana wenyewe kwa wenyewe hakuna kesi, tawanyikeni endeleeni na kazi...kazi iendelee.
R.I.PView attachment 2381743
Kama habari ilivyotolewa na Ngilisho Tv.
😁😁😁😁Kwa hiyo mke kajiweka pembeni, shughuli ya kutoa discipline kaachiwa mchepuko.....ama kweli ukistaajabu ya Musa......
Mapanga!!View attachment 2381743
Kama habari ilivyotolewa na Ngilisho Tv.
Wakikosana wanakuja kwa raia.Mapanga!!
Kazi ya chama!!
Tulia alisemaje?Kauli ipi
Wagajuana wenyewe sisi tushike jembe tukalimeTulia alisemaje?
Kazi iendelee.View attachment 2381743
Kama habari ilivyotolewa na Ngilisho Tv.
😅😅😅Kazi iendelee.
Na hili mlichukue mkalitazame.