Anayedaiwa kuwa Katibu Wa UVCCM wilaya ya Chemba Dodoma acharangwa mapanga na Mchepuko wake

Dogo alikua anamkuna Sana mmama wa UWT Kama katibu Fulani.
 
Mchepuko mkuu kasimamia nafasi yake.Mke wa jamaa huko atakuwa full shangwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…