Anayeelewa Diamond ni msanii wa muziki gani kwa sasa aje aniambie, naona kama anatapatapa

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila mm mnanifurahisha kwa kujitia moyo while deep inside mnaumia kinyamaa madudu anayoyafanya boss wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina bosi mkuu.
Mimi naoenda mziki mzuri.
Jana nilikuwa nasikiliza seduce lakina baada ya hii zilipendwa kutoka nimetupa kapuni seduce..

All in all hii competition inatusaidia wapenzi wa muziki kupata vitu vikali muda wote...bifu linawafanya wasanii wasirelax

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila mm mnanifurahisha kwa kujitia moyo while deep inside mnaumia kinyamaa madudu anayoyafanya boss wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kusema la ukweli nyie ndo mnafurahisha na mnalijua
Kaa namtu anabinua kidomo kama Tttttttttttttttaqo anasema nyimbo mbaya madudu alafu mkute sasa klabu anavofanya fujo kama stail za kucheza katunga yeye.

Wabongo wanafki nao zilibendwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muziki wa Tanzania kwa sasa una creative crisis kadiri unavyozidi kukua. Tatizo kubwa linakuja kutokana na "growing pains". Kibiashara mwanamuziki anavyozidi kukua ndivyo creative freedom inavyopungua, ndivyo anavyozidi kupangiwa kwamba "sasa inabidi ukamate soko la West Africa, hasa Nigeria, kwa hiyo uimbe hivi na vile, ufanye collaboration na nani. Sasa ni lazima ukamate soko la South Africa etc etc".

Hapo msanii asipokuwa makini ku maintain creative freedom anaweza kutoa kitu kichekesho.

Ukisikiliza wimbo mpya wa Ali Kiba "Seduce Me" utaona hilo pia. Kuna vionjo vya Africa Magharibi na Kihispania. Lakini Ali Kiba anaonekana kuweza kuchanganya vionjo hivi vizuri zaidi bila kupoteza identity yake ya awali.

 
Unataka tukuambie aina ya muziki anaimba Diamond au umetuita tuje kuona chuki zako juu yake yeye.? Hata haviendani na kichwa cha habari
 
Pambana na hali yako,yule sasa hiv hafany mzik wa kutafta pesa,yule ana enjoy tuu,pesa anayo ya kufa mtu,..alikiba ndo njaa inamtandika,..apambane ,lakin hawez fika alikofika diamond hata aimbe had afkie miaka70
 
"unatuaibisha" na nani? jisemee mwenyewe,Kipusa naye [HASHTAG]#Zilipendwa[/HASHTAG]....
[HASHTAG]#seduce[/HASHTAG] me [HASHTAG]#kipusa[/HASHTAG]
[HASHTAG]#atutaki[/HASHTAG] uonevu

ndo habar ya mujini

try me
 
Mojawapo kati ya nyuzi za kishambenga katika Jf. Uzi wa kikekike umejaa ushakunaku na misuto. Mtoto wa kiume mambo haya hayakufai PAMBANA NA HALI YAKO.

ACHA nikae KIMYA...!
 
Hivi mtoto wakiume unanzaje kujita kipusa yani..!? Kama sio ubwabwa ni nini
 

haaa wivuu huo
 
Ushauri Kama huu angeutoa mwanasheria ungelipiwa lakini wewe umempa bure kabisa.
Maana hata Mimi nilikuwa nadhani kiba anasafiria nyota ya mondi ila kwa wimbo wa Jana imedhihirisha mondi anasafiria nyota ya kiba.
Yaan mtu mmoja anashindanishwa na kikundi cha watu(wcb). N balaa.
Wacha niseme kiba anastahili kuwa king kwa kufananishwa na wcb badala ya mondi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…