Diamond umeanza kuwa mtumwa bila ww kujijua, unawekeza nguvu nyingi sana kushindana na mtu ambaye hana time na ww. Before nilikuwa naona kama kiba ndo alikuwa anasafiria nyota yako lakin naona kibao kimegeuka ghafla umekuwa mtumwa, jamaa anacheza na akili yako kama mtoto, ni aibu kubwa sana kikundi cha watu mia kushindana na mtu mmoja, kaa chini tafakari acha kutoa nyimbo kwa mashindano na kukomoana mziki siyo vita mziki ni burudani rudi kwenye zama zako kipindi unatoa nyimbo zenye hisia na zilizotulia, unafeli sana jitafakari sipendezwi na huu uzwazwa unaouendekeza.
Sent using
Jamii Forums mobile app