Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo ndo maana ya mwanamzik ubaswich vyovvyote ndo maana unamuona anadum miaka na miakaTeh teh teh teh teh teh teh!
Huyu jama amebaki anaangalia aimbe staili gani ili walau aendelee kubaki kwenye headline.
Muziki mtamu tuliouzoe kutoka kwa diamond miaka ya 2010, 2011, 2012,2013,2014, siyo kama miziki tunayoiona ikiimbwa na msanii huyu kwa sasa ni kama kapoteza mwelekeo.
Duuhhh! kwa hali hii muda si mrefu si kuuza karanga tu bali hata kukusanya taka kitamhusu
akili za timu domo bwana! so hapa umejibu hoja?
Kwer kabisaWatz wacheni unafiki
hayo manywele na wigi walizovaa akina diamond yameharibu vdeo kwa kweli, ila nyie mnashabikia tu
ushabiki huu ni wa kiwango cha unyumbu!
[HASHTAG]#video[/HASHTAG] mbovu
hv umetumia kichwa kipi kufikir?[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32] ww jamaa so young money wanatoa nyimbo za kucopy hadi jina km hivMijitu mingine imekalia akili zao..
Ina maana YOUNG MONEY wanavotoa nyimbo ya pamoja wanashindana na alikiba?
Yani kuna mijitu inafaa ianguke ife tuu maana huku dunian inamaliza hewa bure
Sent using Jamii Forums mobile app
KUTOKWA MAPOVU WAKATI WASAFI WANAZIDI KUNGAA- ZILIPENDWA [emoji16]hv umetumia kichwa kipi kufikir?[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32] ww jamaa so young money wanatoa nyimbo za kucopy hadi jina km hiv