Anayeelewa Diamond ni msanii wa muziki gani kwa sasa aje aniambie, naona kama anatapatapa

Anayeelewa Diamond ni msanii wa muziki gani kwa sasa aje aniambie, naona kama anatapatapa

Nchi hiii maisha yanazidi kuwa magumu kwa sababu tunatumia hela nyingi kununua vifurushi tufatilie kiki na bifu za wasanii. Na ndo hatuachi tukiacha tunafanya nini viwonder hakuna😀
 
Unashabikia unatukana weee... wenzio wanaingiza pesa kupitia wewe mwanaume mzima. Kuna siku utakuja kujiona ulikuwa mpumbavu.
 
dayamond is going down

Unless abadili muziki na kurudi kwenye melodies
 
Teh teh teh teh teh teh teh!

Huyu jama amebaki anaangalia aimbe staili gani ili walau aendelee kubaki kwenye headline.

Muziki mtamu tuliouzoe kutoka kwa diamond miaka ya 2010, 2011, 2012,2013,2014, siyo kama miziki tunayoiona ikiimbwa na msanii huyu kwa sasa ni kama kapoteza mwelekeo.

Duuhhh! kwa hali hii muda si mrefu si kuuza karanga tu bali hata kukusanya taka kitamhusu
hiyo ndo maana ya mwanamzik ubaswich vyovvyote ndo maana unamuona anadum miaka na miaka
si unaon unavyoumia km watu wanakukata rinda
 
akili za timu domo bwana! so hapa umejibu hoja?

Mashabiki wengi wa domo ukiingia kwenye page zao ni wa tandale mazense hawajielewi mashabiki wa kiba wengi naona wastaarabu sina timu mawazo yangu
 
Mijitu mingine imekalia akili zao..
Ina maana YOUNG MONEY wanavotoa nyimbo ya pamoja wanashindana na alikiba?

Yani kuna mijitu inafaa ianguke ife tuu maana huku dunian inamaliza hewa bure

Sent using Jamii Forums mobile app
hv umetumia kichwa kipi kufikir?[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32] ww jamaa so young money wanatoa nyimbo za kucopy hadi jina km hiv
 
Back
Top Bottom