Anayeelewa Diamond ni msanii wa muziki gani kwa sasa aje aniambie, naona kama anatapatapa

Anayeelewa Diamond ni msanii wa muziki gani kwa sasa aje aniambie, naona kama anatapatapa

Mambo yanayomchanganya Diamond ni haya:
A. Bill za nyumba tatu 1. Madale 2. Mobeto 3. South anakoishi Zali.

B. Hofu ya kuzidiwa kimziki na Alikiba

C. Kuishiwa mkwanja na kuanza kuuza Karanga

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa anajua san sijui kwa nn ananza kujichanganya kiasi iki yaani nachukzwa sana na huu mtindo aliouanzisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
INACHANGANYA KUONA HARMONIZE YUPO NIGERIA KUFANYA NGOMA NA KOREDEBELO

SIMBA YUPO ZAKE HUKOOO,ANAPIGA COLABO NYINGINE YA KIMATAIFA

MARA KATUMWA MLINZI LIBRARY HAPO WCB TANDALE ,KAPEWA FUNGUO NA MAELEKEZO KATIKA KABATI YA JUU HAPO UPANDE WA KUSHOTO,CHOMOA KITU KIMOJA KINEANDIKWA ZILUPENDWA AFU TUTUPIE WATU TUKALALE

BAADA YA KUIPATA TU MLINZI KAIACHIA,HEEEEE TEAM FULANI IKABID WAAMKE KUTOA MATUSI NA KUKESHA MPAKA ASUBUHI

KINACHOUMA NI KWAMBAAA,NGOMA ILIKUA LIBRARY TU

SASA HAWA WCB WANA NGOMA NGAP HUKO LIBRARY WAMEHIFADHIIII

AU NAO WAANZISHE MTINDO WA MWAKA HADI MWAKA KAMA KIPUSAA
 
kiba ajawahi kuwa na muda wa kushindana na domo, sema jamaa ndo anahangaika na kiba.
 
Kina afande Sele wanaendelea kutumia ustaarabu kunshauri kijana astaafu sasa

Zama hupita banaaa
 
Speak for yourself. Labda anakuaibisha wewe
 
nawaza tu what if [HASHTAG]#zilipendwa[/HASHTAG] isivume kama [HASHTAG]#seduceme[/HASHTAG]
 
matonya aliwahi imba "zilipendwa" pia wamekopi idea, raha ya wimbo utoe ume relax mambo ya kutoa kushindana na mtu ni upumbavu na ni hatari
 
Diamond umeanza kuwa mtumwa bila ww kujijua, unawekeza nguvu nyingi sana kushindana na mtu ambaye hana time na ww. Before nilikuwa naona kama kiba ndo alikuwa anasafiria nyota yako lakin naona kibao kimegeuka ghafla umekuwa mtumwa, jamaa anacheza na akili yako kama mtoto, ni aibu kubwa sana kikundi cha watu mia kushindana na mtu mmoja, kaa chini tafakari acha kutoa nyimbo kwa mashindano na kukomoana mziki siyo vita mziki ni burudani rudi kwenye zama zako kipindi unatoa nyimbo zenye hisia na zilizotulia, unafeli sana jitafakari sipendezwi na huu uzwazwa unaouendekeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe si shabiki wa diamond hata siku,

"unatuaibisha" na nani? jisemee mwenyewe,Kipusa naye [HASHTAG]#Zilipendwa[/HASHTAG]....
 
Hii zilipendwa ni ngoma kali sana kuwahi kutokea katika muziki wa africa.
Wewe mtoa maada jiongelee mwenyewe...mimi kam shabiki nimeikubali kinoma
Hapa niko nainywea chai

Sent using Jamii Forums mobile app
It won't take long kwenye anga za muziki. Ni idea nyepesi sana maana ilishafanywa na matonya. Kilichofanyika ni kubadilisha beat na kuongeza viujanja ujanja.

Leo ni ngoma kali sawa, ila ikishazoeleka itakua ya kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond umeanza kuwa mtumwa bila ww kujijua, unawekeza nguvu nyingi sana kushindana na mtu ambaye hana time na ww. Before nilikuwa naona kama kiba ndo alikuwa anasafiria nyota yako lakin naona kibao kimegeuka ghafla umekuwa mtumwa, jamaa anacheza na akili yako kama mtoto, ni aibu kubwa sana kikundi cha watu mia kushindana na mtu mmoja, kaa chini tafakari acha kutoa nyimbo kwa mashindano na kukomoana mziki siyo vita mziki ni burudani rudi kwenye zama zako kipindi unatoa nyimbo zenye hisia na zilizotulia, unafeli sana jitafakari sipendezwi na huu uzwazwa unaouendekeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mijitu mingine imekalia akili zao..
Ina maana YOUNG MONEY wanavotoa nyimbo ya pamoja wanashindana na alikiba?

Yani kuna mijitu inafaa ianguke ife tuu maana huku dunian inamaliza hewa bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom