Anayefaham hotpot ambazo zinatunza joto Muda mrefu

Anayefaham hotpot ambazo zinatunza joto Muda mrefu

Nunua tu microwave oven...

Zamani kulikuwa na hotpots za Cello zinakimbiza, lakini kwa sasa kuna copy tu...
 
unataka hotpot ikae na joto muda gani??

unakuta mtu anataka hotpot ikae joto masaa 12 hiyo kitu haiwezekani huwezi kukuta joto lilelile abadani
 
Habari wadau,
Naombeni mnifahamishe ikiwezekana tupia Na picha ya hotpot ambazo zinatunza joto muda mrefu hotpot nazokumbana nazo zinapoza haraka chakula
Maxima za bati

Usinunue za plastic nilisikia zinatengeneza sumu
 
Kuna hii Brand inaitwa BOHARA ni stainless steel made in India nimeipenda kweli
 
Back
Top Bottom