Anayefahamu Elimu Financing ya Amana Bank anipe muongozo tafadhali

Anayefahamu Elimu Financing ya Amana Bank anipe muongozo tafadhali

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
4,493
Reaction score
5,591
Habari wakuu,

Napenda kuulizia kama kuna mtu anayefahamu kuhusu huduma ya kifedha ya mikopo ya ada ya masomo (tuition fees) tajwa hapo juu kwa ajili ya wanachuo wa Shahada.

Maana nina shida ya ada kwa mwaka mmoja tu, then nitakuwa nawalipa kidogo in future times

Msaada please.
 
Back
Top Bottom