Anayefahamu kanisa zuri lenye sifa zifuatazo, anijulishe nijiunge tafadhali

Sabato Anglican Catholic Lutheran period
 

Ni la kwako na uwe na Biblia yako!

Kwa sababu warumi 8:14 inasema "Kwa Kuwa wanaoongozwa na roho Ni wana Mungu"

Hilo waliongoza wewe Kwa kanuni zako.
 
Umenena vyema
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri
 
Daah we umeongea kwel yoote na ninakuunga mkono 100%
Upo vzuri sana Kamanda
 
Yapo makanisa mengi yenye sifa hizo. Kanisa la Wasabato, KKKT, RC, Anglican, AIC, Mennonite, na baadhi ya makanisa ya Pentecoste. Orodha ni ndefu sijayataja yote. Wadau wameeleza pia.
 
Popote waweza kusali halimradi ni kanisa la kikristo maana kanisa bora ukisoma yakobo 2:29 utapata jibu na kanisa linaanzia rohoni mwako.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Utaadhimisha kitu kisichojulikana tarehe yake halisi?

#MaendeleoHayanaChama
kitabu cha Mwanzo kinasema Mungu alipumzika siku ya saba haijasema jumamosi kalenda zilikuwa hakuna w Kalenda!!! Mungu aliagiza fanya kazi siku sita pumzika ya saba hakusema siku hiyo ya saba ni jumamosi!!! Jumamosi ni makubaliano ya kibinadamu kama ilivyo jumapili au ijumaa kwa waislamu



Siku Mungu alipumzika dunia nzima ilikuwa sabato inayoanza muda ule ule na kumalizika muda ule ule dunia nzima siyo hii sabato feki ya wasabato wa sasa ambayo kutokana na Time difference kimataifa sehemu moja ya dunia wakianxa siku ya sabato wengine wanakuwa makazini upande mwingine wa dunia wengine wanapomali na kuingia kazini wengine upande mwingine wa dunia inakuwa bado!!!

Ni wapi Mungu aliagiza kuwa na sabato tofauti tofauti muda wa kuanza na kumaliza duniani?

Hata wasabato sabato yao ya kujitungia kutegemea eneo walipo kama jumapili iliyopo ya kujitungia na siku ya sabato pia ya kujitungia kutegemea eneo na time difference za kimataifa!!

Kuhusu kuadhimisha birthday kama hujui tarehe tunga yako!!! Sio Jedi uiandike kitambulisho cha taifa
 
Yamekuwa haya
 
Sawa..mimi sibishani na wewe nakupa facts..dini zote zenye chimbuko la ibrahimu..hususani jews wanasali jumamosi..je hao si ndio chimbuko kwanini wasali siku hiyo kama sabath..pia njoo kwenye pasaka..ijumaa wakristo hawali nyama..jmos wanapumzika..jumapili wanasherekea kufufuka kwa kristo...na unajua kwa nini kwenye maandiko walimtoa Yesu kwenye msalaba mapema kabla sabato haijaigia?

Anyway ningumu sana kukataa kua sabato ni jmos..sema wengi hushupaza shingo tu..kwa ubishi..mana hata Yesu alisema hkuja kutengua torati bali kuitimiliza..torati ni sheria ambapo moja wapo sheria ya kuitunza sabbath imo.

Kila la.kheri kwenye ukengeufu wako.

Mana hakuna sehemu kristo Yesu alisema watu wasali nje na siku ya sabbath.

#MaendeleoHayanaChama
 
Tatizo La wasabato ni ujinga hawakubali mfano bar ikigeuzwa kanisa wao watakomaa kuwa hapo ilikuwa baa haistahili kuwa kanisa!!! ni watetezi wa wapagani!! Krismasi na pasaka Na jumapili zilikuwa sherehe za wapagani Wakristo wakazibadilisha kuwa zisiwe za kipagani


Wasabato hawataki wanataka zibaki za wapagani

Kwenye dini zote sijawahi ona watetea wapagani na waabudu miungu kama wasabato

Ndio maana siamini kama wasabato ni wakristo!!! Wanataka jumapili, krismasi na pasaka ziendelee kuwa siku za miungu ya kipagani
 
Yesu alisema ni Bwana wa Sabato hakusema Bwana wa Jumamosi

Mungu aliagiza fanya kazi siku sita ya saba pumzika hakutaja jumamosi cha msingi chapa kazi siku sita ya saba pumzika iwe ijumaa au jumamosi au jumapili au jumata jumanne etc ni wewe na maamuzi yako au ya jamii eneo husika

Ninachokataa ni wasabato kulazimisha kuwa Mungu alisema siku ya mapumziko ni jumamosi


Hata wayahudi leo wamesambaa dunia nzima saa ya kuanza sabato na kumaliza ni tofauti

Wasabato wasingekuwa mafarisayo wangekuwa na kalenda yao inayoonyesha dunia nzima muda wa kuanza sabato na kumaliza muda mmoja dunia nzima!!!

Lakini hawana mifarisayo mikubwa Mungu siku ya saba yake ilikuwa hiyo hiyo dunia nzima kuanzia muda wa kuanza na kumaliza

Kalenda yake ilisoma siku hiyo na muda huo huo dunia nzima kuanza na kumaliza
 
[emoji119][emoji122][emoji3059][emoji3059]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…