Anayefahamu kanisa zuri lenye sifa zifuatazo, anijulishe nijiunge tafadhali

Ufufuo na uzima litakufaa tena askofu wake ni dr na anafufua na ni mwanasiasa na ni mchambaji mzuri nan akuzingue asifukunyue mafaili akuchambie adi uhisi umefika peponi
5. Lisiwe kanisa linalotegemea mchungaji/ kiongozi mmoja!
 

Jiunge Pentecost international worship center lipo ursino street plot no 28 unaweza kuwatembelea Juma pili moja
Ursino street ni mtaa wa Kikwete maarufu mikocheni karibu na morroco

Kanisa liko na sita tajwa
 
Mimi nakushahuri tuuu, hanzisha lakoo!!!!!! Kwani kabla ya hapo ulikuwa unasali wapi????
 
1. Adventist wasabato (SDA)
2. Mashahidi wa Jehovah(JW)

Kwa hawa natumaini utapata huzo sifa kama upo serious
 
Lakini halina teamwork! Hubagua hadhi ya waumini
Ni kanisa ambalo halina time na mtu, halilazimishi mtu kusimama sjui atoe sadaka, halijui kupangia mtu mavazi hawachungulii leo flani kalala guest , mara flani hatoi sadaka, sjawai ona ubaguzi zaidi ya kuwa mshirika unayeshiriki ibada hasa za jumuia hata uwe maskini wa namna gani kanisa linakubeba kwa shida utakuwa nazo, ni taasisi inayotumia matoleo ya waumini wake kusaidia wasiojiweza, ntafia Roman Catholic wajameni licha ya mume wangu kuwa msabato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…