Anayefahamu kanisa zuri lenye sifa zifuatazo, anijulishe nijiunge tafadhali

Biblia imeandikwa na nani akiongozwa na nani??
Kutoka24:4 "Musa akaandika maneno yote ya Yehova",,Danieli7:1,1wathesalonike2:13,,2Timotheo3:16.Biblia imetungwa na Mungu lakini aliandika kupitia wanadamu,mfn Babu akimpa mjukuu karamu na karatasi kisha mjukuu akawa anaandika mambo anayoambiwa na babu,ni dhahiri huo utakuwa ni ujumbe wa babu ila muandish n mjukuu,so Biblia ni neno takatifu la Mungu.
 
Kuna fermented wine ambayo hulevya na unfermented wine ambayo ni kama juice tu. Unadhani muujiza wa Yesu ulileta ipi kati ya hizo aina mbili pale Kana?
Muujiza wa Yesu ulitokeza kilevi,kuna mifano mingi tu ya watu waliomtumikia Mungu na walikuwa wanatumia kilevi,mfn n Loti,alipobaki na binti zake,walimpa kilevi kingi ili wapate nafasi ya kuendeleza kizazi,mwingine ni Noa
 
Naomba tukumbushane kuhusu andiko hili Mathayo28:19,20.Kazi kubwa ambayo Yesu aliwaachia wafuasi wake yani wakristo ni kuwafundisha watu habari juu ya ufalme wa Mungu na Biblia kiujumla,hapa ni watu wa mataifa yote,kwaiyo kama kweli ni kujua kanisa la kikristo la kweli zingatia pia hiki kigezo,ni wakina nani wanawahubiria watu kweli za Mungu kama mitume walivyofanya.Ukiweza pitia Isaya43:10.Na ishara ya waumini wake ni upendo (Yohana13:34,35).Huwezi kumkuta mkristo wa kweli anajihusisha na siasa(Yohana6:12-15),sababu Kulingana na Mathayo6:9,10 wakristo wanatazamia ufalme wa Mungu tu na sio serikali za kibinadamu kwasababu ya Mhubiri8:9 na Yeremia10:23.
 
Biblia inakataza ulevi na sio kunywa pombe!.Je unataka kuniambia Biblia inapokataza kula kupita kias inamaanisha ni dhambi kula? Soma Luka21:34. Ukisoma Zaburu104:14,15,utaona pombe n kiburudisho,anachokataza Mungu ni ulevi sio pombe
Kwa maana hiyo, je wewe pombe unatumia? [emoji28]
 
Biblia inasema sala inapaswa kwenda kwa Mungu kupitia Yesu Kristo tu( Yohana14:6) sasa kwanini mnamuhusisha Maria ni wapi Biblia inasema tusal kuptia Maria?
KWANINI WAKATOLIKI TUNAMHESHIMU BIKIRA MARIA?

•Maria ni Nani?
Maria ndiye mama mzazi wa Yesu Kristu (Luka 1:30-31,Mathayo 1:18-25)
Kwahiyo Yesu Kristu ni mtoto halisi wa Mariam.

•Kwanini Tunamhesimu?
Biblia inajibu kama ifuatavyo

(i)Tunaambiwa na Malaika kwamba amejaa Neema.
Luka 1:28,30

(ii)Alimzaa mtakatifu wa Mungu au kwa lugha nyingine mwana wa Mungu
Luka 1:31-33

(iii)Wakristo wa kwanza walimheshimu na walimshirikisha katika sala na mafungo yao.Kwanini na sisi tusimshirikishe na kumheshimu!
Matendo 1:14

(iv)Katika hali ya kumtukuza Mungu,alikiri kuwa 'Tangu sasa tutamwita Mwenye Heri'
Luka 1:48

(v)Elisabethi hali akijawa roho mtakatifu alimshuhudia na kumwita 'amebarikiwa kuliko wanawake wote'
Luka 1:41-45

(vi) Yesu mwenyewe mwana wa Mungu alitukabidhi kwetu kupitia kwa Yohane mwanafunzi aliyempenda
Yohane 19:25-27

Kwa uthibitisho huu wa kimaandiko sina shaka kuwa Maria ni Miongino mwa Watakatifu walioheshimina miongoni mwa Mitume tokea kanisa la kwanza.
Na ndivyo hivyo na sisi wakatoliki wa leo tunavyopaswa.

Ikumbukwe, wakatoliki hatufanyi IBADA KUMWABUDU BIKIRA MARIA,bali tunafanya ibada za maombezi kupitia kwa birika maria kwenda kwa Mwanae Yesu kristo kama wale wayahudi walivyofanya kule Kana ya Galilaya walipoishiwa divai katika harusi ile (Yohane 2:1-12).
 
Kutoka24:4 "Musa akaandika maneno yote ya Yehova",,Danieli7:1,1wathesalonike2:13,,2Timotheo3:16.Biblia imetungwa na Mungu lakini aliandika kupitia wanadamu,mfn Babu akimpa mjukuu karamu na karatasi kisha mjukuu akawa anaandika mambo anayoambiwa na babu,ni dhahiri huo utakuwa ni ujumbe wa babu ila muandish n mjukuu,so Biblia ni neno takatifu la Mungu.
Kwa hiyo kumbe unatambua kuwa Biblia ni neno takatifu la Mungu,Sasa kwanini unapindisha,kutafsiri na kubadilisha vifungu kwa utashi wako?
 
hii inapatikana kwenye Biblia

1 Tim 5:23​

Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara.

Na aliambiwa hivyo kwa sababu dawa nyingi huwa na Alcohol ndani ya dawa hizo mfano za usingizi,za nusu kaputi nk

Wangegoma kunywa dawa yeyote yenye alcohol ndani sababu ni marufuku kunywa pombe

Ndio akasema kutumia kidogo kama tiba ya magonjwa sababu ndani ya hizo dawa huwemo kiasi kidogo

Hakuhalisha pombe kwa ajili ya starehe

Mvino agano jipya hauruhusiwi kunywa
Wewe ndugu utakuwa na matatizo kichwani au hilo kanisa ulilopo mtakuwa na shida sana na uelewa mdogo sana wa Biblia na masuala ya kiroho! Umeshapewa mifano mingi,Yesu alipokuwa kwenye harusi alibadili maji kuwa pombe ili karamu iwe na furaha,Kuna ushahidi mwingi kuwa hata mababu zetu kina Nuhu,Daudi na wengineo walitumia sana pombe na bado walikuwa marafiki na Mungu,Hata Biblia inasema wazi kuwa pombe ni nzuri itumikapo kwa kiasi

Sira 31:27 BHND

Pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi. Maisha yafaa nini bila pombe? Imeumbwa iwafurahishe watu.

Kwa hiyo wewe na hilo dhehebu lako mnapojaribu kubisha ina maana mnapingana na neno la Mungu na ni watakatifu zaidi ya mababu zetu kina Nuhu??
 
KWANINI WAKATOLIKI TUNAMHESHIMU BIKIRA MARIA?

Didas Tumaini naandika.

•Maria ni Nani?
Maria ndiye mama mzazi wa Yesu Kristu (Luka 1:30-31,Mathayo 1:18-25)
Kwahiyo Yesu Kristu ni mtoto halisi wa Mariam.

•Kwanini Tunamhesimu?
Biblia inajibu kama ifuatavyo

(i)Tunaambiwa na Malaika kwamba amejaa Neema.
Luka 1:28,30

(ii)Alimzaa mtakatifu wa Mungu au kwa lugha nyingine mwana wa Mungu
Luka 1:31-33

(iii)Wakristo wa kwanza walimheshimu na walimshirikisha katika sala na mafungo yao.Kwanini na sisi tusimshirikishe na kumheshimu!
Matendo 1:14

(iv)Katika hali ya kumtukuza Mungu,alikiri kuwa 'Tangu sasa tutamwita Mwenye Heri'
Luka 1:48

(v)Elisabethi hali akijawa roho mtakatifu alimshuhudia na kumwita 'amebarikiwa kuliko wanawake wote'
Luka 1:41-45

(vi) Yesu mwenyewe mwana wa Mungu alitukabidhi kwetu kupitia kwa Yohane mwanafunzi aliyempenda
Yohane 19:25-27

Kwa uthibitisho huu wa kimaandiko sina shaka kuwa Maria ni Miongino mwa Watakatifu walioheshimina miongoni mwa Mitume tokea kanisa la kwanza.
Na ndivyo hivyo na sisi wakatoliki wa leo tunavyopaswa.

Ikumbukwe, wakatoliki hatufanyi IBADA KUMWABUDU BIKIRA MARIA,bali tunafanya ibada za maombezi kupitia kwa birika maria kwenda kwa Mwanae Yesu kristo kama wale wayahudi walivyofanya kule Kana ya Galilaya walipoishiwa divai katika harusi ile (Yohane 2:1-12).
Nimezaliwa na kukulia katika imani ya katoliki,kilichokuwa kimebak kwangu ni either ndoa au upadre,kwaiyo naijua iman ya kanisa katoliki vizuri,mkuu hakuna hata sehem moja kwenye biblia iliyoagiza tumpe Maria upekee au unaweza nipa andko linaloagza sala zipitie kwa Maria? Unaweza nipa andiko linaloagiza tutumie sanamu katika ibada? Unaweza nipa andiko linalosema ubatizo uwe wa kinyunyuziana maji na sio kuzamishwa kabisa kama Yesu alivyobatizwa?
 
Kwa hiyo kumbe unatambua kuwa Biblia ni neno takatifu la Mungu,Sasa kwanini unapindisha,kutafsiri na kubadilisha vifungu kwa utashi wako?
Ndio mkuu Biblia ndio kitabu pekee kitakatifu,hakuna nilipopindisha au kubadl maana,labda unionyeshe ndugu
 
KWANINI WAKATOLIKI TUNAMHESHIMU BIKIRA MARIA?

Didas Tumaini naandika.

•Maria ni Nani?
Maria ndiye mama mzazi wa Yesu Kristu (Luka 1:30-31,Mathayo 1:18-25)
Kwahiyo Yesu Kristu ni mtoto halisi wa Mariam.

•Kwanini Tunamhesimu?
Biblia inajibu kama ifuatavyo

(i)Tunaambiwa na Malaika kwamba amejaa Neema.
Luka 1:28,30

(ii)Alimzaa mtakatifu wa Mungu au kwa lugha nyingine mwana wa Mungu
Luka 1:31-33

(iii)Wakristo wa kwanza walimheshimu na walimshirikisha katika sala na mafungo yao.Kwanini na sisi tusimshirikishe na kumheshimu!
Matendo 1:14

(iv)Katika hali ya kumtukuza Mungu,alikiri kuwa 'Tangu sasa tutamwita Mwenye Heri'
Luka 1:48

(v)Elisabethi hali akijawa roho mtakatifu alimshuhudia na kumwita 'amebarikiwa kuliko wanawake wote'
Luka 1:41-45

(vi) Yesu mwenyewe mwana wa Mungu alitukabidhi kwetu kupitia kwa Yohane mwanafunzi aliyempenda
Yohane 19:25-27

Kwa uthibitisho huu wa kimaandiko sina shaka kuwa Maria ni Miongino mwa Watakatifu walioheshimina miongoni mwa Mitume tokea kanisa la kwanza.
Na ndivyo hivyo na sisi wakatoliki wa leo tunavyopaswa.

Ikumbukwe, wakatoliki hatufanyi IBADA KUMWABUDU BIKIRA MARIA,bali tunafanya ibada za maombezi kupitia kwa birika maria kwenda kwa Mwanae Yesu kristo kama wale wayahudi walivyofanya kule Kana ya Galilaya walipoishiwa divai katika harusi ile (Yohane 2:1-12).
Ndugu yangu ipo hivi,Yesu alimkabidhi Maria kwa mtume Yohana sababu mpaka anapokufa wadogo zake Yesu hawakumuamin Yesu kuwa masihi,kumkabdh mama yake kwa Yohana ni sabab alitaka mama yake alishwe kiroho,na hakuna hata sehem moja ambapo Biblia inamuhusisha Maria katika sala,sala zinapaswa kupitia kwa Yesu tu.
 
Nimezaliwa na kukulia katika imani ya katoliki,kilichokuwa kimebak kwangu ni either ndoa au upadre,kwaiyo naijua iman ya kanisa katoliki vizuri,mkuu hakuna hata sehem moja kwenye biblia iliyoagiza tumpe Maria upekee au unaweza nipa andko linaloagza sala zipitie kwa Maria? Unaweza nipa andiko linaloagiza tutumie sanamu katika ibada? Unaweza nipa andiko linalosema ubatizo uwe wa kinyunyuziana maji na sio kuzamishwa kabisa kama Yesu alivyobatizwa?
Hayo maandiko yote hapo hujayaona.Wewe hukuwahi kuwa mkatoliki wala hukuwahi kupata mafundisho yoyote.Maana kama ingekuwa kweli ungekuwa na majibu ya maswali hayo tangu komunio ya kwanza.
 
KWANINI WAKATOLIKI TUNAMHESHIMU BIKIRA MARIA?

•Maria ni Nani?
Maria ndiye mama mzazi wa Yesu Kristu (Luka 1:30-31,Mathayo 1:18-25)
Kwahiyo Yesu Kristu ni mtoto halisi wa Mariam.

•Kwanini Tunamhesimu?
Biblia inajibu kama ifuatavyo

(i)Tunaambiwa na Malaika kwamba amejaa Neema.
Luka 1:28,30

(ii)Alimzaa mtakatifu wa Mungu au kwa lugha nyingine mwana wa Mungu
Luka 1:31-33

(iii)Wakristo wa kwanza walimheshimu na walimshirikisha katika sala na mafungo yao.Kwanini na sisi tusimshirikishe na kumheshimu!
Matendo 1:14

(iv)Katika hali ya kumtukuza Mungu,alikiri kuwa 'Tangu sasa tutamwita Mwenye Heri'
Luka 1:48

(v)Elisabethi hali akijawa roho mtakatifu alimshuhudia na kumwita 'amebarikiwa kuliko wanawake wote'
Luka 1:41-45

(vi) Yesu mwenyewe mwana wa Mungu alitukabidhi kwetu kupitia kwa Yohane mwanafunzi aliyempenda
Yohane 19:25-27

Kwa uthibitisho huu wa kimaandiko sina shaka kuwa Maria ni Miongino mwa Watakatifu walioheshimina miongoni mwa Mitume tokea kanisa la kwanza.
Na ndivyo hivyo na sisi wakatoliki wa leo tunavyopaswa.

Ikumbukwe, wakatoliki hatufanyi IBADA KUMWABUDU BIKIRA MARIA,bali tunafanya ibada za maombezi kupitia kwa birika maria kwenda kwa Mwanae Yesu kristo kama wale wayahudi walivyofanya kule Kana ya Galilaya walipoishiwa divai katika harusi ile (Yohane 2:1-12).
Yohana14:6"Yesu akamwambia'Mimi ndiye NJIA na kweli na uzima.Hakuna mtu anayekuja kwa Baba bila kupitia kwangu".Inaposema Yesu ndiye njia inamaanisha tunaweza kumfikia Yehova Mungu katika sala kupitia kwake peke yake,isitoshe Yesu ndiye njia inayotumiwa kutupatanisha na Mungu. Yohana16:23"Siku hiyo hamtaniuliza swali lolote.Kwa kweli ninawaambia,mkimwomba Baba jambo lolote,atawaopa KATIKA JINA LANGU".Hapa Yesu anakiri ni katika jina lake TU ndio tunamsingi wa kutoa sala kwa Mungu na sio kwa Maria au mtu fulani.
 
Ndugu yangu ipo hivi,Yesu alimkabidhi Maria kwa mtume Yohana sababu mpaka anapokufa wadogo zake Yesu hawakumuamin Yesu kuwa masihi,kumkabdh mama yake kwa Yohana ni sabab alitaka mama yake alishwe kiroho,na hakuna hata sehem moja ambapo Biblia inamuhusisha Maria katika sala,sala zinapaswa kupitia kwa Yesu tu.
Mkuu wewe mwenyewe unataka uonyeshwe vifungu vya biblia ili uamini sasa na wewe unakuja na imani zako ambazo hazipo kwenye Biblia! Wapi kwenye Biblia imesema wadogo zake Yesu hawakumwamini? Mnajifanya kufuata Biblia 100% kwa mambo ambayo yanaenda kinyume na imani yenu ila mnakuwa wa kwanza kujiaminisha mambo ambayo hayapo kwenye Biblia kufavour imani yenu [emoji1787][emoji1787][emoji119]. Walau mimi nimekupa vifungu vyote vya heshima anayostahili kupewa Bikira Maria.

Unaposema hatuwezi kumuomba Yesu kupitia Maria, Unajua walipokuwa kwenye harusi ya Kana walipoishiwa Divai walimfuata nani ili awaombee kwa Yesu?
 
Yohana14:6"Yesu akamwambia'Mimi ndiye NJIA na kweli na uzima.Hakuna mtu anayekuja kwa Baba bila kupitia kwangu".Inaposema Yesu ndiye njia inamaanisha tunaweza kumfikia Yehova Mungu katika sala kupitia kwake peke yake,isitoshe Yesu ndiye njia inayotumiwa kutupatanisha na Mungu. Yohana16:23"Siku hiyo hamtaniuliza swali lolote.Kwa kweli ninawaambia,mkimwomba Baba jambo lolote,atawaopa KATIKA JINA LANGU".Hapa Yesu anakiri ni katika jina lake TU ndio tunamsingi wa kutoa sala kwa Mungu na sio kwa Maria au mtu fulani.
Watu wamejitengenezea channel zao za maombi bila kujua.
 
Back
Top Bottom