Anayefahamu kuhusu oswald mang'ombe tafadhali unijulishe,,

Ni moja kati ya shule zilizoingia kumi bora la mwisho kidato cha sita mwaka jana
 
Ni moja kati ya shule zilizoingia kumi bora la mwisho kidato cha sita mwaka huu
 
stormryder mdogo wangu..
Hiyo shule sifa yake kuu. Mwaka huu imefanikiwa kuwa moja ya shule 10za mwisho.
 
Last edited by a moderator:
jamani anayefaham kuhusu shule tajwa anijulishe?

naifahamuu kwa kuisikia coz mwalimu wake mkuu wa sasa alikuwa shule ye2 NDANDA bt alihamishiwa hkoo coz 2limgomea then mkuu wa kule akahamia kwe2! Khucu shule imekuwa top five kutoka mwishoo kwa matokeo ye2 ya form six 2013! Xo co shule nzuri ndgu yangu, mkuu wa pale now anaitwa 'david sowani'
 
Dgo shule hyo haifai! Ila kma umeipendaa fresh!!!
 

Mmh umetumia lugha gani mdogo wangu? Sijaelewa huu uandishi wako hapa, naona namba kwenye herufi ndio nini?
 
Mmh umetumia lugha gani mdogo wangu? Sijaelewa huu uandishi wako hapa, naona namba kwenye herufi ndio nini?

umeelewaa lakin!? Coz kuelewa ndo muhimu hzo zngne mbwembwee! Sory kma nimekukwaza kwa uandishi wangu
 
Juhud za mtu binafsi ndo zinamfanya mwanafunz kufaulu,usihangaike kujua historia ya shule.NENDA KAKOMAE WE NI MWANAUME
 
92329]ahh na we spleen kumbe uliuwa iv mwaka jana dah swaga zako za mfagizi wa kwa mkuu nikikumbukaga hahahahahaha
[/QUOTE]

Acha upuuzi dogo nipo zangu chuo...........nashkuru mungu nilisomaga shule ambayo tangu nizaliwe haijawahi toka top ten
 
thanks guyz kwa ushauri,nimeelewa ,lakini naombeni tushirikiane kushauriana namna tutahakikisha tunatatua tatizo la uzembe mashuleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…