stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,776
- 5,786
jamani anayefaham kuhusu shule tajwa anijulishe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani anayefaham kuhusu shule tajwa anijulishe?
jamani anayefaham kuhusu shule tajwa anijulishe?
Ni moja kati ya shule zilizoingia kumi bora la mwisho kidato cha sita mwaka huu
daah!!,je miaka ya nyuma?
naifahamuu kwa kuisikia coz mwalimu wake mkuu wa sasa alikuwa shule ye2 NDANDA bt alihamishiwa hkoo coz 2limgomea then mkuu wa kule akahamia kwe2! Khucu shule imekuwa top five kutoka mwishoo kwa matokeo ye2 ya form six 2013! Xo co shule nzuri ndgu yangu, mkuu wa pale now anaitwa 'david sowani'
Mmh umetumia lugha gani mdogo wangu? Sijaelewa huu uandishi wako hapa, naona namba kwenye herufi ndio nini?
Juhud za mtu binafsi ndo zinamfanya mwanafunz kufaulu,usihangaike kujua historia ya shule.NENDA KAKOMAE WE NI MWANAUME
[/QUOTE]92329]ahh na we spleen kumbe uliuwa iv mwaka jana dah swaga zako za mfagizi wa kwa mkuu nikikumbukaga hahahahahaha
QUOTE]yaah Flammable! cha msingi akakomae tuu[/
Jipe moyo utashinda..............................aaaaaaaaah!!!! kumbe nimechangia subiri niendelee zangu kupiga mluzi
jamani anayefaham kuhusu shule tajwa anijulishe?